Rais Samia Raia wa Uganda wamekupenda mno hivyo ukienda Kesho katika Ziara yako ya Kwanza waambie haya..,.

Safari njema sana Mh. Samia Suluhu Hassan.

Make Tanzania Happy Again=MATHA
 
Upuuzi tupu Rais anapoteza hela za walipa kodi kwa kutembelea Uganda??! Really?? Uganda nchi maskini kuliko tz itatusaidia nini?? Hatuna Rais hapa
Dhumuni lake labda ni kama la mataifa ya magharibi yanavyokujaga Tz. Tunataka tukawanyonye waganda.
 
Upuuzi tupu Rais anapoteza hela za walipa kodi kwa kutembelea Uganda??! Really?? Uganda nchi maskini kuliko tz itatusaidia nini?? Hatuna Rais hapa
Nchi majiran Ni muhimu sana kwa uchumi wetu, next anaweza kwenda Kenya au kongo
 
hauna akili mkuu, acha kumshauri Rais anajua mwenyewe cha kufanya. Tumia akili yako vizuri shauri mambo ya msingi na sio kuanza kumfundisha Rais wetu ya kusema.
 
Kama walishindwa kumshauri mwenda zake mama ndio mmeona mteremko? Huo ushauri mbona hatukuuona kwa mwenda zake ?

Kama hutaki tumshauri Rais na Wewe inakuwaje unakereka mpaka Kutuzuia Sisi tusimshauri? Unapata wapi huu Uhalali? Swine kabisa!!
 
Jamaa una ID nyingi sana.
Umeandika point nzuri sana.
Kongole popoma.
 
Kumbe Mukwano ni mtu, basi jamaa ana makampuni mengi
Nikama akina mo na bakresa ana viwanda balaa alafu huwa nashangaa Wa bongo Kwa kubeza nchi nyingine wanadhani wanganda ni masikini kama tuambiavyo?kwanza baada ya miaka kadhaa Uganda watatuacha mbali waoo mwendokasi wao wanatumia basi yao ya kutumia umeme kiira motors sisi hata baiskeli hatuundi
 
Upuuzi tupu Rais anapoteza hela za walipa kodi kwa kutembelea Uganda??! Really?? Uganda nchi maskini kuliko tz itatusaidia nini?? Hatuna Rais hapa
Kwani bado tunahitaji misaada kutoka nchi zingine? Kwani bado tu hatujawa dona kantri licha ya jitihada zote za Jiwe?
 
Jamaa una ID nyingi sana.
Umeandika point nzuri sana.
Kongole popoma.

ID's nyingi kama zipi labda? Kama una uhakika wa 100% kuwa ni zangu zote tafadhali zianike ( zitaje ) hapa upesi sawa?

Hili neno Popoma huwa naliona mno hapa JamiiForums ila sijajua maana yake. Hebu nieleweshe nijue.

Kuhusu Kuandika points nzuri ( Madini ) sijaanza leo na ni desturi yangu Kufanya hivyo niwapo JF.

Signature yangu tu isemayo " Gifted Intellectually, Knowledgeable and Well Informed " ina Majibu tosha.
 
Upuuzi tupu Rais anapoteza hela za walipa kodi kwa kutembelea Uganda??! Really?? Uganda nchi maskini kuliko tz itatusaidia nini?? Hatuna Rais hapa
We Fala'""""1s..... Tuachie rais wetu na hayo ni maon yako binafs!!!

Jagul!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…