Rais Samia Raia wa Uganda wamekupenda mno hivyo ukienda Kesho katika Ziara yako ya Kwanza waambie haya..,.

Upuuzi tupu Rais anapoteza hela za walipa kodi kwa kutembelea Uganda??! Really?? Uganda nchi maskini kuliko tz itatusaidia nini?? Hatuna Rais hapa
Sasa ni mwewe kwenda mbele, mikataba tunasaini uholanzi semina elekezi tunafanyia Paris, tunakwea maemirate na makatarii eaweyz hivi vipangaboi vyenu hasara tupu tunauza bei ya mnaba !! Acheni wivu tumemisi mawingu mjue
 
Unamlisha mama matango pori.Hivi vichwa vyenu huwa zinawaza nn?
 
Unamlisha mama matango pori.Hivi vichwa vyenu huwa zinawaza nn?
 
Eti nilivyomjinga nawaza

Mara paaa jamuhuri ya muungano wa TANZUGA
 
Hivi kumbe lisura libaya ni ishara ya roho mbaya na hulka ya upigaji!
 
Madam president usiteue hata msukuma mmoja kwenye teuzi zako, makonda na wasukuma wenzie kapanga wasukuma wenzie kwenye social network kuitusi mamlaka
 
Madam president usiteue hata msukuma mmoja kwenye teuzi zako, makonda na wasukuma wenzie kapanga wasukuma wenzie kwenye social network kuitusi mamlaka

Ungekuwa ni Uzi pekee ungependeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…