Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tunataka misikiti mingi zaidiKwake ni kharamu 😅Bora tuendelee kukopa tu
Bar gani inauza 24/7? Pombe ipigwe life banNawe kwa ulevi huo kuna mtu atakusikiliza kweli? Hakuna sehemu pombe inazuiliwa kuuzwa muda wote ila kuna utaratibu na aina ya biashara. Miji yote mikubwa gambe liko masaa 24 we sijui uko mji gani
Polisi wanajipigia pesa, ukikamatwa unakunywa ukiwa huna pesa cha moto utakiona kuingia bure kutoka na pesa.Mama.
Kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa.
Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi, wakati wa furaha na wakati wa huzuni.
Pombe ni kiburudisho baada ya kazi. Kuna kazi mbalimbali nchini. Sio wote wanafanya kazi masaa ya asubuhi hadi jioni.
Wengine kazini huingia usiku na kutoka asubuhi, kwa katazo la watu hawa kunywa mchana tunakuwa hatuwatendei haki na nchi inapoteza kipato.
Hebu hili liangaliwe upya kwa ustawi mpana wa uchumi wa taifa letu.
Ni haramu kutokuwa na hela ya kumpa polisi halafu umekaa bar unarrrrrrrreeeewaPolisi wanajipigia pesa, ukikamatwa unakunywa ukiwa huna pesa cha moto utakiona kuingia bure kutoka na pesa.
Njoo polisi maturubai Mbagala bia ni saa 24, usalama upo saa 24.Mama, kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa.
Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi, wakati wa furaha na wakati wa huzuni.
Pombe ni kiburudisho baada ya kazi. Kuna kazi mbalimbali nchini. Sio wote wanafanya kazi masaa ya asubuhi hadi jioni.
Wengine kazini huingia usiku na kutoka asubuhi, kwa katazo la watu hawa kunywa mchana tunakuwa hatuwatendei haki na nchi inapoteza kipato.
Hebu hili liangaliwe upya kwa ustawi mpana wa uchumi wa taifa letu.
Hata Tegeta wanakunywaNjoo polisi maturubai Mbagala bia ni saa 24, usalama upo saa 24.
Mama, kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa.
Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi, wakati wa furaha na wakati wa huzuni.
Pombe ni kiburudisho baada ya kazi. Kuna kazi mbalimbali nchini. Sio wote wanafanya kazi masaa ya asubuhi hadi jioni.
Wengine kazini huingia usiku na kutoka asubuhi, kwa katazo la watu hawa kunywa mchana tunakuwa hatuwatendei haki na nchi inapoteza kipato.
Hebu hili liangaliwe upya kwa ustawi mpana wa uchumi wa taifa letu.
IgingilanyiNawe kwa ulevi huo kuna mtu atakusikiliza kweli? Hakuna sehemu pombe inazuiliwa kuuzwa muda wote ila kuna utaratibu na aina ya biashara. Miji yote mikubwa gambe liko masaa 24 we sijui uko mji gani
Jina gani?Hilo Jina linachimba vidonda vya watu.... Unawakumbusha awamu ilee.
Urusi wanalewa masaa 24 na hatutakaa tuwafikieNchi zinazoendekeza pombe, raia wao wengi wako ohe hahe, maana hawana muda wa kufanya kazi zaidi ya kushinda na pombe tu vichwani.
Mzee haipo hivyo mim Nina bar hapa dar lakin polisi wasumbufu muda woteNawe kwa ulevi huo kuna mtu atakusikiliza kweli? Hakuna sehemu pombe inazuiliwa kuuzwa muda wote ila kuna utaratibu na aina ya biashara. Miji yote mikubwa gambe liko masaa 24 we sijui uko mji gani