Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Urafiki police 24hrsNjoo polisi maturubai Mbagala bia ni saa 24, usalama upo saa 24.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urafiki police 24hrsNjoo polisi maturubai Mbagala bia ni saa 24, usalama upo saa 24.
Naunga mkono hojaMama, kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa.
Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi, wakati wa furaha na wakati wa huzuni.
Pombe ni kiburudisho baada ya kazi. Kuna kazi mbalimbali nchini. Sio wote wanafanya kazi masaa ya asubuhi hadi jioni.
Wengine kazini huingia usiku na kutoka asubuhi, kwa katazo la watu hawa kunywa mchana tunakuwa hatuwatendei haki na nchi inapoteza kipato.
Hebu hili liangaliwe upya kwa ustawi mpana wa uchumi wa taifa letu.
Nyagi kwa saana huyoYe mwenyewe naskia ni mtu wa kuchota kinoma huyo bibi
Mkopo wenye riba ni haramu pia.Kwake ni kharamu [emoji28]Bora tuendelee kukopa tu
SwadaktaNaunga mkono hoja
USSR