Kesho kunani
Member
- Sep 10, 2023
- 72
- 191
- Thread starter
- #21
Tuoneee huruma mkuuPumbavu zao waendelee hivyo hivyo, CCM ndiyo inataka watu wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuoneee huruma mkuuPumbavu zao waendelee hivyo hivyo, CCM ndiyo inataka watu wajinga
Samia Ruvuma tumekukosea Nini?
Hili swali Nilimuuliza magufuli na Leo na kuuliza wewe. Tumekukosea Nini? Wewe na serikali yako hawa wangoni, wayao, wandendeule na wamatengo wamekukosea Nini? Inakuwaje hivi licha ya upendo wote tunaowapa wewe na chama chako
Kipaumbele ni Kwa wajanja si Kwa machawa, wangoni ni malaika Sana tumezombika. Hebu mpigie ndumbaro atuelezee, kama huna namba njoo inbox
Huwezi onea huruma majitu majinga, amekiri kuwa tangu uhuru ni CCM lakini maendeleo ni zero, huo si upumbavu wao sasa wa kutofanya maamuzi sahihi, kwanini sehemu zenye maendeleo haziitaki CCM?Tuoneee huruma mkuu
😂😂😂Mkuu hatimaye mama anakuja
Mkuu hatimaye mama anakuja