Rais Samia, safari za nje ziambatane na hotuba zenye mvuto. Hongera Mama wa Barbados, umetikisa kikao

Sio kwamba IQ yake yake itaendana na idadi ya watu unaowaongoza??, the more the population #, the more the IQ and vise versaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† up to infinite!!
......kwamba challenges kwenye nchi yenye idadi kubwa ya watu ni nyingi sana na challenging sana compared na kainchi kenye idadi ndogo ya watu!!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sio kwamba IQ yake yake itaendana na idadi ya watu unaowaongoza??, the more the population #, the more the IQ and vise versaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† up to infinite!!
Leo tumepata kipigo cha DRC? Jilinganishe kisiasa na DRC. Population ain't signify anything if quality of leadership is to be discussed. This case our president is marred by her ushamba, ubwege, elimu ndogo poor thinking, wrong friends and all these funny words describing an imperfect person.
 
Sasa anawaambia wasaidizi wake kwamba ni nonsense!
 
this one is too much! Really!
 
Chezea elimu ya hapa na pale wewe!! Janjajanja nyingiiii

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…