Welldone mkuu, umechangia vema,I love it uchangiaji huu, hauna kebehi but umejitahidi to defend your opinion, sasa mkuu what's the way forward kwa nchi ili nasi tuweze kujitegemea kwa chakula?tumekosea wapi?,ninatoa mfano wa zambia kwa sababu nimefika na kuvutiwa nayo na mipango yao ya kiuchumi, ukifika mji wa Mazabuko, ardhi yao na mazingira yao hayana tofauti na kilombero,mashamba makubwa na ya kisasa ya miwa, Sukaei wanajitosheleza,sisi hapa ni tofauti, tujiulize why zambia sasa anaithamini zaidi route yake ya chirundu (Zimbabwe)na kazungula (Botswana)ni kwa sababu ya kibiashara, zambia imechukua almost 40%ya bidhaa za DRC, na kwa kulala kwetu usingizi hawa DRC wameamua kupeleka bidhaa zao thr walvis bay ,Durban na beira, all long route kwa sababu barabara zetu ni mbovu na bandari yetu tunaongea mno badala ya kufanya kazi