Rais Samia: Sekta ya kilimo itakua kwa 30% kufikia Mwaka 2030

Mwaka 2030 Maza Atakuwa na miaka 70. Nimewakumbusha tu
 
Reactions: Ame
Kwamba hato gombea tena urais?
Nikimaanisha akigombea 2025 Atakuwa na miaka 65, so ukifika 2030 Atakuwa na miaka 70.
Kipindi hicho ataweza kufika katavi, simiyu na Singida ambako Hakuna viwanja vya ndege kukagua miradi au atasubiria keletewa taarifa magogoni?
Wapigaji kipindi hicho watapiga sana
 
Welldone mkuu, umechangia vema,I love it uchangiaji huu, hauna kebehi but umejitahidi to defend your opinion, sasa mkuu what's the way forward kwa nchi ili nasi tuweze kujitegemea kwa chakula?tumekosea wapi?,ninatoa mfano wa zambia kwa sababu nimefika na kuvutiwa nayo na mipango yao ya kiuchumi, ukifika mji wa Mazabuko, ardhi yao na mazingira yao hayana tofauti na kilombero,mashamba makubwa na ya kisasa ya miwa, Sukaei wanajitosheleza,sisi hapa ni tofauti, tujiulize why zambia sasa anaithamini zaidi route yake ya chirundu (Zimbabwe)na kazungula (Botswana)ni kwa sababu ya kibiashara, zambia imechukua almost 40%ya bidhaa za DRC, na kwa kulala kwetu usingizi hawa DRC wameamua kupeleka bidhaa zao thr walvis bay ,Durban na beira, all long route kwa sababu barabara zetu ni mbovu na bandari yetu tunaongea mno badala ya kufanya kazi
 
Tatizo hili ni la kimfumo ambao unaruhusu maslahi binafsi kupatikana ndani ya "vyama vya ushirika" ambavto ndivyo only organized boards za kilimo...Humo ndani kuna watu wamejigeuza kuwa brokers na ingekuwa njema kama wangefanya hivyo kwa maslahi ya taifa, no kwa maslahi yao na kundi la watu wachache wenye power na authority...

Hii inajirudia kila sehemu ya taasisi ya umma...Na ni shortcomings kwenyw nchi zote za kijamaa...Siaajabu hata huko Zambia wenye hayo mashamba ni wazawa wenye power na uthority wakishirikiana na wanaoitwa wawekezaji wa nje huku majority waki suffer the consequences...Otherwise kwanini GDP yao haiizidi ya kwetu?
Kenya wao ni Agricture sector ndiyo inabeba GDP yao lakini tatizo la Kenye ni pia hao hao ambao wame consolidate power ndiyo ambao ni wafaidika pia ila yao ipo efficient zaidi kwakua hao hawajifichi wanasaidiwa na mifumo yao ya kibepari, lakini the integration ya hizo zote majibu yanarudi pale pale, welfare za Africa ni mbovu na haijalishi no ujamaa au ubepari kwakua mifumo hiyo kwa pande zote mbili zinafanya kazi kufaidisha externals....Tunatofautiana tu makombo yanayodondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…