Vipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi huku mkimpongeza?Hii nchi inachezewa sana
USSR
Kunywa maji mengi upunzishe hilo fuvuMama ni mdini hatufai
Mara kununua jogoo za laki!Vipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi?
Wa kuwalaumu ni CCMBaada ya kuzindua kitabu chake Jioni ya leo mama samia amesema anamshukuru Mungu kwa kumpa mwinyi miaka 96 na sasa anamwombea afike 100
Pia amesema anaona mzee mwinyi akipata shida ya kupanda gari alilonalo na ameamua kumpa zawadi ya benzi la chinichini ambalo thamani yake ni milioni 450 tsh ,hii nchi inachezewa sana
USSR
Alafu hawa wehu wanaompinga mama walikuwa wakipiga makofi tu kumtukuzaMara kununua jogoo za laki!
CCM ni kirusi cha Corona kilichopo India kwa sasa!Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?
Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa ccm madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
Wabaguzi wa kijinsia kina mulaga Veronica hawa!Alafu hawa wehu wanaompinga mama walikuwa wakipiga makofi tu kumtukuza