Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?

Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa ccm madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
You ain't seen nothing yet.
 
Leo ni sherehe ya kiserikali ndio maana mechi imeahirishwa
 
Zawadi ya Ml 450 kwa mtu alie simamia ustawi wa taifa letu.. tena ukiangalia hata kwenye baadhi ya sarafu kuna sura yake hiyo tsh ml 450 bado ni ndogo sana Ndugu yangu
Anastahili zawadi ya thamani gani?!
 
Hivyo vijisenti kavitoa mfuko gani ? Personal Akaunti au kuna mfuko wa Happy 96th Birthday?
 
Benz la milioni 450 lipo hapo nilitamani kuona picha benz ya million mia tuu ni hatari labda muongeze sifuri kama kawaida yenu
 
Back
Top Bottom