Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Liko wapi hilo benzi?
Thamani yake wewe umeipataje?
Ndio staili yake ya kufanya kazi pengine. Tutapima matokeo. sio busara kumlaumuHv mama ameanza kufanya kazi au bado yuko kwenye shamra shamra?
Hayo ma Benz yalikuwepo kama matano hivi. Yalinunuliwa wakati wa mkutano wa SADC ﹰkwa ajili ya kuwabeba wakuu wa nchi za ﹰSADC ﹰkama sikosei. Hivi sasa yatakuwa yamebaki manne kama mwinyi kapewa moja. Sina taarifa sahihi sana.ameamua kumpa zawadi ya benzi la chinichini ambalo thamani yake ni milioni 450 tsh ,hii nchi inachezewa sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aongeze kidogo ampatie la walau million mia 850
Kunyoosha!! 🚶🚶🚶🚶Yule wa ipp alizindua kitabu akanyoosha, akaja yule wa awamu ya tatu akazindua kitabu nae akanyoosha, sasa sijui huyu nae anataka nini...
Kunyoosha!! 🚶🚶🚶🚶Yule wa ipp alizindua kitabu akanyoosha, akaja yule wa awamu ya tatu akazindua kitabu nae akanyoosha, sasa sijui huyu nae anataka nini...
rais ana mshahara kima wewe.Vipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi?
Tulia weweHuyu mama ni failure
wastaafu wana mgao wa magari kila kipindi fulani.Inachezewa sana kivipi we jamaa.. Mbona unakuwa na roho ya kimaskini sana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zawadi ya Ml 450 kwa mtu alie simamia ustawi wa taifa letu.. tena ukiangalia hata kwenye baadhi ya sarafu kuna sura yake hiyo tsh ml 450 bado ni ndogo sana Ndugu yangu