Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Umejuaje kama ni jipya?
Huenda amepewa gari kuukuu
Gari la thamani ya tsh milioni 450 halafu liwe gari kuukuu tena! Kwanza sheria ya serikali ya manunuzi, hairuhusu ununuzi wa vitu used! Ukisikia wamenunua gari, basi ujue ni 0 Kilometer!
 
Inachezewa sana kivipi we jamaa.. Mbona unakuwa na roho ya kimaskini sana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zawadi ya Ml 450 kwa mtu alie simamia ustawi wa taifa letu.. tena ukiangalia hata kwenye baadhi ya sarafu kuna sura yake hiyo tsh ml 450 bado ni ndogo sana Ndugu yangu
Nawewe ina maana mzee Rukhsa hana uwezo wa kununua gari la chini? vingapi wamepewa pamoja na ukwasi walionao,haya mambo yakianza na kuendelea yatatufikisha kusiko,wangapi wamesimamia ustawi wa nchi hii wamepewa magari.
 
Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?

Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa ccm madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.

Usimaindi mkuu, Mbowe alimhonga laaziz wake Joyce Mukya ubunge viti maalum kwa muda wa miaka kumi mfululizo

Na ukumbuke mbali ya mshahara mnono wa ubunge kuna mafao baada ya ubunge yasiopungua 250ml kila baada ya miaka 5

Sasa Rais Samia kaamua kumtunuku gari tu aliyekuwa RAIS WA NCHI,,

lakn Mbowe alimtunuku laaziz wake ubunge,,, hapo tu ni Mwenyekiti wa chama, je akiwa Rais itakuwaje!?????

Ukisema uiondoe madarakani ccm je tumpe nani chama!???
 
Gari la thamani ya tsh milioni 450 halafu liwe gari kuukuu tena! Kwanza sheria ya serikali ya manunuzi, hairuhusu ununuzi wa vitu used! Ukisikia wamenunua gari, basi ujue ni 0 Kilometer!
Hakuna mahali thamani imetajwa zaidi ya mleta hoja, ninaposema kuukuu namaanisha yaliyotumika ikulu
 
Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?

Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa ccm madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
Una uhakika gani na hii habari? Ungekua na akili ungeomba chanzo.
 
Mwenye nacho huongezewa, Hata hivyo mzee wetu ni Tunu ya Taifa, tuendelee kumtunza kwa gharama yoyote
 
Ni haki yake Mzee mwinyi kama rais mstaafu kuhudumiwa na serikali mpaka mwisho wa uhai wake.unashangaa benzi ya mil450: je unajua bei ya vx v8 new model?
Maswali ya Humphrey Polepole haya! Unaijua Vii eiti wewe!! Unajua bei ya Vii eiti Niu Modeli wewe!

Hapana mkuu! Sijui!
 
Nakiona kiza kilichotanda mbele yetu kikubwa sana, Bi mkubwa kaanza kuchemka vibaya sana Mwenyezi Mungu atuongoze kwa kweli.

Mwanangu anasoma shule yenye watoto 800 na walimu 5 alafu kuna mtu anakula ndinga ya 450m.

Hofu imetanda moyoni mwangu
 
Back
Top Bottom