Mkuu nadhani ni sehemu ya mazoezi yanayomwezesha kuwa fit kwenye huo umri alio nao.
A blessing in disguise so as to speak.
Kwa kweli siwezi jua kama anaweza nunua hiyo gari kwa pesa yake au la, lakini hata hivyo yeye ni mpewa zawadi tu na hivyo sio defendant kwenye hii issue.
Kama kuna mtu wa kulaumiwa hapa ni mama, kwa kujaribu ku rationalize zawadi na hivyo kuwapa wale ambao washatoa visu vyao kwenye ala na kuvinoa dhidi yake, nafasi ya kuli- blow hili suala zima out of proportions kiasi cha hata kuwateka wengine ambao walishaonesha imani kwake.