THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mama anatoa wapi million 450? Kwa mshahara upi?
Na wewe umetoa wapi hii hela ya kununua bundle ya kuandika miyeyusho yako humu JF na huo ugumu wako wa maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anatoa wapi million 450? Kwa mshahara upi?
Huyu Mwinyi uzee wake umeanza kuwa kero sasa. It's too much.Labda hayo mashada ndio yanachanganya hiyo gari sio mpya na wala sidhani kama inafika thamani ya tsh 50 million or else nitashangaa.
Swala la msingi mzee Mwinyi anahitaji kweli au anasa tu. Alichofanya hayati ni worst zaidi kuwajengea majumba watu ambao tayari wanaishi kwenye retirement home zao. Two wrongs don’t make a right.
Bottom line the act is morally wrong.
Alikuwa anagawa za kwake, kutoka mfukoni mwake? Au alikua anagawa kwa niaba yetu?JPM alikuwa Rais mwenye maono,simaanishi kwamba hakuwa na kasoro, hata pesa alizotoa ,ni kwa watanzania wenye shida kweli.
Na hilo si la ajabu kwani kuna watanzania wangapi ambao kila ijumaa wanatoa misaada kwa wtanzania wenzao?
kwanini iwe ajabu kw Rais kusaidia wananchi wake? au kwa sababu u don't fall into that group?
Huyi mzee ana pensheni kubwa, mroto wake keshampatia urais Zanzibar wanae wengine kawapa ubunge wa east afrika kwa kifupi huyu mama ni bomu linalosubiri mida kulipukaAmeshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?
Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa CCM madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
You can forgive mzee Mwinyi for acting his age, still stable (god bless him) but it’s obvious now anaishi na ‘dementia’ even if it’s not severe. Sidhani kama itakuwa sahihi kumnyanyapaa mzee wa watu ukizingatia psychology yake.Huyu Mwinyi uzee wake umeanza kuwa kero sasa. It's too much.
Pambio alizokuwa anapiga wakati wa Magu naona zinaendelea bila kujali zinawaumizaje wengine.
Wewe jamaa umefikiria vizuri aisee hili wazo nilipendaKuna namna nyingi ya kumfurahisha rais mtaafu (96) ambaye mtoto wake yaani mtanziania mwenzetu ni rais huko Zanzibar.
Binafsi, ningemzawadia kwa niaba ya watanzania kwa jina lake kupewa Hifadhi ya wanyama ya taifa inayogusa mikoa ya pwani lindi nakadhalika. Yaani ningebadili jina la SELOUS Game reserve, kuwa Mzee Dr Ally Hassan Mwinyi Game reserve.
Hiyo 450 m ningewapatia Muhimbili ama COSTECH kwa ajili ya kuimarisha utafiti wa kugundua dawa/ chanjo za kukabiliana magonjwa hatari kama kovidi na kuwezesha uboreshaji na sambazaji wa technolojia zilizotokana na wabunifu wetu hapa nchi kuonyeshwa kwenye maonyesho ya "MAKISATU", SABA SABA, na NANE NANE.
109,750 x 2300 = 252,425,000/=
Inaelekea wewe hukusikia alichosema mama au unataka tu kupotosha kwa makusudi.Marais, Makamu Rais na Mawaziri wakuu wastaafu wanachagua magari mapya kila baada ya miaka mitano If I am not mistaken na service wanafanyiwa bure. Na nyumba wanapewa, mpaka mpishi na mtunza bustani wanapewa.
Ni sehemu ya package kustaafu ya viongozi wa kitaifa wastaafu.
Sasa hapa wamefanya kutangaza tu, lakini hawa viongozi wastaafu wote wanachagua magari na wananunuliwa na serikali tangu wanastaafu.
Nchi watoto wote wa viongozi wamepewa majumba....na serikali inawagharamiaSio sahihi mbona tulisema tangu wakati huo.
Hatuwezi kumwacha mtu yule apumzke katk ulimwengu wake na sisi huku tuendelee na ulimwengu wetu?Vipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi huku mkimpongeza?
Mpongezeni na huyu
Umelijibu vizuri sana hilo sukuma gangVipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi huku mkimpongeza?
Mpongezeni na huyu
Mataga hayana jemaKunywa maji mengi upunzishe hilo fuvu
Mama kaanza kuharibu. kulikuwa na ulazima gani kutangaza huu upuuzi.
Mkuu yaani wewe ulikuwa usha sahau wajibu wetu kuwa ni kuiondoa ccm madarakani?Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?
Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa CCM madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
Wacha wale cake za taifa, na hakuna wa kuwazuia. AaaahNyumba ipo kisheria na ya Kikwete nadhani imekamilika