Rais Samia: Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki

Rais Samia: Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote.

Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya Haki sawa kwa Wanadamu, ili Haki isionekana tu kuwepo bali ionekane inatendeka katika Nchi yetu".

Ameeleza hayo wakati akizindua kitabu cha "Tanzania Gender Bench Book on Women's Rights kilichoandaliwa na Chama cha Wanasheria na Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) Ikulu Dar es Salaam.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Duh kwa hawa wake zetu wa leo, RASMI SASA HAKUNA NDOA TENA
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na
Yeye mwenyewe alishahukumu bila kusikiliza, sijui ndo haki inavyomtaka afanye?
 
1BF1C391-D49A-4973-8979-F749A93A7E38.jpeg
 
  • Mshangao
Reactions: BAK
Mahakama idumishe haki gani, je ni ile ya kumpandisha cheo Jaji Mustapha?
 
Sawa kabisa mama kulia kupokezana tukae kwa kitulia leo unacheka kesho utalia ...
 
Back
Top Bottom