Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"

Kuna haja ya kuwatafakari tuliowapa madaraka. Mpaka sasa Tz tuna umeme wa ziada tunafikiria kuwauzia majirani.
Sasa tunasaini mkataba kununua umeme. Hakikà Trump ni rais sahihi wa USA
tanzagiza haifwati meritocracy, hapo ndipo tatizo lilipo, meritocracy ingechuja wengi na wasingefikia hapo walipofikia, sasa tunaangamia kwa kukosa maarifa, high iq people and high achiever hawapewi nafasi kwa kuwa zimeshikiliwa na mediocre …
Wataalam waje watufafanulie hili. Mnakuwa na umeme ndani wa kutosha lakini mnanunua nje. Hivi Kenya wanazalisha umeme kwa njia gani mpaka tukanunue kwao. Ukisema nje kwa kanda ya Kaskazini hapo unazungumzia Kenyaz au kuja nchi nyingine jirani na huko?
Wanaona gharama kujenga transimission line ndefu kwa ajili ya kusafirisha MW chache.. hivyo wanapiga shortcut kwa kununua hizo MW chache Kenya. Maana kenya na kaskazini ni karibu
Hizi kelele n tangu enzi za JK, tena wao walienda mbali zaidi na kusema kwa jiji la Dar hapatakuwa na nguzo za umeme mana zinachafua mazingira hvy nyaya za umeme zitapita ardhini mpaka kwa wahitaji.
Hivi mfano sisi wa Tanzania tukamuomba Elon Musk awe raisi wa taifa letu kwa mkabata maalumu wa miaka 10 wenye kufungu cha kumtoa kama atakiuka,hivi inashindikana?
Atupeleke mchaka mchaka wa miaka 10 akituachia tuwe hatua tatu nyuma ya china.