Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Yaani sisi ndio tunawauzia huko nje halafu huko nje wanatuuzia sisi sio
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawaweza hao maccm? Waambieni wakiwa waongo wasiwe wasahaulifuKuna kiongozi aliwahi kusema 2025 tutakuwa na umeme wa kutosha kutumia nchi nzima na tutauza hadi nje.
Tukisema chadema huwa hawana akili ndiyo mtambue, gharama ya kutengeneza njia kuu ya umeme ya kv 33, toka ilipo kwa sasa mpaka uifikishe mombo ni gharama kubwa mno, kwa kutatua matatizo ya dharura ni heri kuuchukuwa kutoka Kenya, kupeana umeme kibiashara ni jambo la kawaida.(Amerika inaumeme mwingi sana, lakini kanada imeipa umeme amerika wa kibiashara wa makazi 15,000, almost mpaka NY inatumia umeme wa kanada.Nchi ya ajabu sana Mara tuna ziada ya umeme Hadi wa kuuza nje,Mara tutanunua kutoka nje tushike lipi? Ccm must go
Huu umeme unazalishwa Ethiopia, Kenya alinunua huko na ndio na sisi tunataka kuunganishwa kupitia Kenya. Bei yake ni rahisi ikilinganishwa na bei zetu za umeme.Wataalam waje watufafanulie hili. Mnakuwa na umeme ndani wa kutosha lakini mnanunua nje. Hivi Kenya wanazalisha umeme kwa njia gani mpaka tukanunue kwao. Ukisema nje kwa kanda ya Kaskazini hapo unazungumzia Kenyaz au kuja nchi nyingine jirani na huko?
Mwenye umeme ni Ethiopia, Tz ni mnunuzi kama ilivyo Kenya.Wanaona gharama kujenga transimission line ndefu kwa ajili ya kusafirisha MW chache.. hivyo wanapiga shortcut kwa kununua hizo MW chache Kenya. Maana kenya na kaskazini ni karibu
Akiondoka baada ya miaka 10 tunarudi pale pale niamini.Hivi mfano sisi wa Tanzania tukamuomba Elon Musk awe raisi wa taifa letu kwa mkabata maalumu wa miaka 10 wenye kufungu cha kumtoa kama atakiuka,hivi inashindikana?
Atupeleke mchaka mchaka wa miaka 10 akituachia tuwe hatua tatu nyuma ya china.
Kwani wasiboreshe Bwawa la Nyumba ya Mungu, hapo Same kwa hizo pesa?Wanaona gharama kujenga transimission line ndefu kwa ajili ya kusafirisha MW chache.. hivyo wanapiga shortcut kwa kununua hizo MW chache Kenya. Maana kenya na kaskazini ni karibu
Shida sio kwamba hao akina Elon Musk hawapo ila style yao ya utendaji wa kazi ni kinyume na style ya CCM. Vinginevyo serikali itaanguka maana mwendo tunaoenda nao sasa ni "funika kombe mwanaharamu apite" ilihali wenzetu wanataka uwajibikaji by 100% kama kazi huwezi upishe wengine sio ubakizwe eti sababu baba yako alikipigania Chama ilihali unaharibu kila nafasi unayopewa.Hakuna mtanzania anaweza simamia system kama wenzetu wa nje.
Sifa moja inawafanya wenzetu kupiga hatua ni kuwa na mfumo wa kiutendaji unaoendana na uhalisia.
Mtawekewa magari mazuri ya usafiri,chakula ,mtapewa posho, per diem nzuri,na mshahara mzuri. Ila eneo la kazi hakuna kuchekeana na uzembe haufumbiwi macho.
Kimsingi wenzetu wanaweka mifumo na kuwajibika nayo sisi tunaweka mifumo na kuichezea.
Ukimuweka mtu kama Elon Musk hapa ndani ya mwaka hamtaamini hili taifa namna litabadilika na kuwa kitu cha tofauti.
Duuuu! Nchi inaongozwa na wajinga wajinga. Unaingia kwenye biashara ya kununua umeme nje ya nchi huku wewe nchini kwako una kila aina ya nishati inayoweza kuzalisha umeme. Unajenga bwawa kubwa la umeme ambalo umewaambia wananchi kuwa likikamilika utaweza kuuza umeme nje ya nchi. Unaingia kununua umeme kutoka nchi Jirani ambayo pia inashida ya umeme halafu unawaambia wananchi umeme utakuwepo masaa 24. Kweli? Huyu kiongozi ana akili kweli? watanzania Dunia itawacheka mkimchagua huyu.Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
View attachment 3264483
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo March 09, 2025.
Soma: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
View attachment 3264591
Rais Samia amesema "Umeme unakatikatika maeneo ya Kaskazini huku lakini Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa hii ya Kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 muda wote bila kukatikakatika"
"Tuko kwenye hatua za mwisho kusaini mikataba ili tuweze kununua umeme ule uungwe Kanda ya Kaskazini na Wananchi wafaidi na umeme, kwahiyo tutakuwa na umeme wa uhakika, maji ya uhakika kila pahali, Vijiji vyote vina umeme tunakwenda Vitongojo na umeme wa kutosha tunaununua unaingia ili kazi za maendeleo ziendelee"
Chanzo: Millard Ayo
Lile bwawa limefika it limit, cant be expanded.Kwani wasiboreshe Bwawa la Nyumba ya Mungu, hapo Same kwa hizo pesa?
Huyo Bibi ni changamoto. Tuwaombee kina Mchengerwa na Wazir Salum wasipige sana tu.Wakuu Mama ni kama amepewa taarifa Sio wame mislead Sijapenda kabisa, Kwasasa Total Capacity ya Uzalishaji wa Umeme Countywide ni 3040MW against matumizi ambayo hayafiki ata 2500MW kitu ambacho tunaweza Kusema kwa Sasa tuna Surplus
Issue ya Kukatika Kwa umeme sidhani kama Ni scarcity isipokuwa Miundo Mbinu ya Usambazaji na Usafirishaji ndio sio rafiki Ministry of Energy ime take ilo onboard na Kuna Miradi ya Usafirishaji Inafanyika Kuongeza Expansion ya Grid mfano wanajenga Mradi Wa 400KV kutoka Chalinze mpaka dodoma Ili umeme unaotoka Bwawa la Mwalimu Nyerere uwe distributed Vyema.
Mwezi uliopita walifanikiwa Kuunganisha Line za Msongo wa 400KV kutoka isenye Kenya Mpaka Singida Via Arusha Na Kujenga Kituo Kikubwa cha Kupooza umeme Substation Arusha Namuguru (400KV) Kiasi kwamba Muunganiko Huo utasaidia Cross-border trading ya Umeme kati yetu sisi Kenya kupitia (Ketraco) na Ethiopia ambaye Ethiopia ndio giant kwenye Ukanda Huu Muunganiko huo Uko guided na Kitu kinaitwa Eastern African power pool Power(EAPP) chenye wanachama Mataifa 13 to date
Ivo issue ya Kusema sisi tununue umeme hakuna sababu kabisa ya msingi ya Kufanya Ivo unless tupate scarcity kitu ambacho kwa sasa hatuna ujenzi wa Line ya msongo 400Kv chalinze dodoma utasaidia Vituo Vinne Kuwa interconnected vya 400Kv ambacho ni Chalinze, Zuzu pamoja Kituo kikubwa cha Singida na Namguru Arusha Ivo izo infrastructure zikishakuwa Constructed tutakuwa na Usafirishaji mzuri na Kaskazini itaenda Kuwa Stable upande wa Nishati
Mheshimiwa Naibu waziri Mkuu ni zaidi ya Mara Moja Tumesikia Ukisema Kuwa Kwa sasa nchi ina Kiwango cha Ziada(Surplus) upande wa uzalishaji ila tu Changamoto Ni Miundo Mbinu ya Usafirishaji na Usambazaji ambalo ni swala wote tunaelewa kuwa Linarekebishwa kwa Muda na ni swala Progressive hii Policy ya kusema tununue Umeme Kenya au Ethiopia sana sana Ethiopia ila Tupitishie kenya Naona Haijakaa Vizuri kabisa
Wakenya kwa sasa tumewapita Upande wa Capacity ya Grid zetu.
Kamwe usiwaamini ccm kwenye jambo loloteKuna kiongozi aliwahi kusema 2025 tutakuwa na umeme wa kutosha kutumia nchi nzima na tutauza hadi nje.
Linazalisha kiwango gani. Na mikoa ya kaskazini inatumia kiwango gani?Lile bwawa limefika it limit, cant be expanded.