Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leta na Megawats wanazozalisha kwenye hilo Bwawa kwa sasa
Kwani bwawa la Nyerere lote limeanza uzalishaji at once? Nusu tuu ya mashine zao ni bwawa Zima la Nyerere.

So wataanza na hizo,bwawa Lina uwezo wa Kuzalisha zaidi ya megawatt 5,000
 
Kuna kiongozi aliwahi kusema 2025 tutakuwa na umeme wa kutosha kutumia nchi nzima na tutauza hadi nje.
Huu ni ubabaishaji tu. Mara tuna umeme mwingi na tutauza njema kwa majirani zetu. Sasa tutanunua umeme toka kwa majirani ili kukidhi mahitaji kwa miji iliyoko Kaskazini. Wananchi tumefanywa kama mazuzu vile wa kuambiwa mambo ambayo hayaingii akilini toka kwa hao wanene. Tumechoka kudanganywa na hadithi za uongo.
 
Kuna haja ya kuwatafakari tuliowapa madaraka. Mpaka sasa Tz tuna umeme wa ziada tunafikiria kuwauzia majirani.
Sasa tunasaini mkataba kununua umeme. Hakikà Trump ni rais sahihi wa USA
Tuna haja ya kuwatafakari au wenye akili tulishawatafakari miaka 30 iliyopita na kuona hawafai?
 
Wataalam waje watufafanulie hili. Mnakuwa na umeme ndani wa kutosha lakini mnanunua nje. Hivi Kenya wanazalisha umeme kwa njia gani mpaka tukanunue kwao. Ukisema nje kwa kanda ya Kaskazini hapo unazungumzia Kenyaz au kuja nchi nyingine jirani na huko?
Tukia akili, watachukua umeme toka Rufiji, kisha watasema ni umeme wa mtoto wa mama (Abdul) wa georthemal.., ili pesa alipwe yeye
 
Huu ni ubabaishaji tu. Mara tuna umeme mwingi na tutauza njema kwa majirani zetu. Sasa tutanunua umeme toka kwa majirani ili kukidhi mahitaji kwa miji iliyoko Kaskazini. Wananchi tumefanywa Kaba mazuzu vile wa kuambiwa mambo ambayo hayaingii akilini toka kwa hao wanene. Tumechoka kudanganywa na hadithi za uongo.
Hata sisi pamoja na hayo tutawauzia Zambia very soon na mikataba ilishatiwa Saini kinachosubiriqa ni mradi ukamilike.

Haya ni masharti ya wanaofadhili grid interconnectivity
 
Kwani bwawa la Nyerere lote limeanza uzalishaji at once? Nusu tuu ya mashine zao ni bwawa Zima la Nyerere.

So wataanza na hizo,bwawa Lina uwezo wa Kuzalisha zaidi ya megawatt 5,000
Bwawa la Nyerere hawajawasha turbines zote kwasababu hakuna upungufu wa umeme kwasasa.

Ila zote zimekamilika
 
Huu ni ubabaishaji tu. Mara tuna umeme mwingi na tutauza njema kwa majirani zetu. Sasa tutanunua umeme toka kwa majirani ili kukidhi mahitaji kwa miji iliyoko Kaskazini. Wananchi tumefanywa Kaba mazuzu vile wa kuambiwa mambo ambayo hayaingii akilini toka kwa hao wanene. Tumechoka kudanganywa na hadithi za uongo.
Siyo ''kama tumefanywa''. Wananchi ni mazuzu yaliyoshindikana. Hakuna nchi ambayo wananchi wanaweza kuchezewa hivi kwa uongo na wakashangilia kama siyo mazuzu.
 
TUnaendelea kukumbushana

20250309_180158.jpg
 
Bwawa la Nyerere hawajawasha turbines zote kwasababu hakuna upungufu wa umeme kwasasa.

Ila zote zimekamilika
Hata hivyo ieleweke kwamba kununua umeme Nje ni mojawapo ya njia ya kuwa na energy mix bila kujalisha kama mna umeme wa kutosha au hapana.

Mfano mwaka juzi na Jana Zambia walikuwa na Upungufu wa 80% ya umeme sababu ya ukame ila hawakuthubutu kukata umeme wanaotuuzia Kwa sababu ni makubaliano ya mikataba ya Kimataifa ya biashara.
 
Ni mama anadanganywa au sisi ndio tunadanganywa?

20250309_180548.jpg
 
Attachments

  • 20250309_180548.jpg
    20250309_180548.jpg
    77 KB · Views: 1
Back
Top Bottom