Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dalili za taifa lililoshindwa, uongo mpya kila siku.
images (74).jpeg
 
Hata hivyo ieleweke kwamba kununua umeme Nje ni mojawapo ya njia ya kuwa na energy mix bila kujalisha kama mna umeme wa kutosha au hapana.

Mfano mwaka juzi na Jana Zambia walikuwa na Upungufu wa 80% ya umeme sababu ya ukame ila hawakuthubutu kukata umeme wanaotuuzia Kwa sababu ni makubaliano ya mikataba ya Kimataifa ya biashara.
Nini hiki sasa umeandika???

Tunajua biasharabya umeme ni biashara ya wahuni, hawawezi kukubali nchi za Afrika zijitoe kwenye minyororo ya tenda zaomza umeme za kihuni.

Hata ujenzi wa hayo mabwawa huwa ni vita kubwa kwa kisingizio cha mazingira.

Na sasa tuna Rais hewala eeee, bora kumekucha. Ndio basi tena
 
Kavunjeni Sasa mkataba maana huo mradi ulianza 2016
 
20250309_174714.jpg

Na bado mkajenga bwawa kubwa Afrika Mashariki na kati lenye uwezo mkubwa sana.

Au huo umeme kutoka bwawa hilo ndiyo u unapiga U-turn kurudi kuja kuuzwa na tunanunua sisi wenyewe?.
 
Zalisheni umeme wa gesi ya Lindi
 
Back
Top Bottom