Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

Ndugu yangu watanzania wengi ni wajinga ndio maana tunaona sawa tu kutopewa taarifa. Na wewe inaonekana ni mjinga pia.
Ujamaa umetulemaza kuongoza watanzania ni kama kuongoza maiti watu wapo dar wamejazana kwenye ofisi za kubeti wanataka kupata msosi wa buku hawa si mapunguani
 
Ni Bora wamesimamisha ghafla, najua mnaopinga mna maslahi binafsi
 
Sijawahi kupigia kura CCM wakati wowote.
serikali ipo sahihi kwasababu ukiangalia takwimu za uzalishaji wa chakula umepungua kwa kiasi hivyo ni bora hicho kiasi kitumike ndani ya nchi kuliko kuuzwa nje ya nchi au unataka tufe kwa njaa nini
 
serikali ipo sahihi kwasababu ukiangalia takwimu za uzalishaji wa chakula umepungua kwa kiasi hivyo ni bora hicho kiasi kitumike ndani ya nchi kuliko kuuzwa nje ya nchi au unataka tufe kwa njaa nini
Unaona ni sawa kupiga stop ghafla wakati magari yalishafika mpakani? Hiyo hasara ya wafanyabiashara unaona sawa tu wewe?
 
Unaona ni sawa kupiga stop ghafla wakati magari yalishafika mpakani? Hiyo hasara ya wafanyabiashara unaona sawa tu wewe?
Wakauze kwenye mghara ya Taifa
Chakula kikipanda bei maisha nayo yanapanda
 
Hivi huwaonei huruma wananchi bei ya vyakula imepanda? Unaangalia upande wako na majirani zako, je! Kwa watanzania! Nimefurahi sana mama kuzuia kupeleka nje
Mwanzo ulifurahi aliporuhusu kuuzwa nje? Ni kama sigara kali
 
Mkulima anakomaa mwenyewe shambani, kulima, mbolea, viatilifu wadudu na gharama zingine. Mwishowe anazuiwa kujitafutia soko zuri la mazao yake nje ya nchi. Huu ni uonevu!!!
 
Hivi huwaonei huruma wananchi bei ya vyakula imepanda? Unaangalia upande wako na majirani zako, je! Kwa watanzania! Nimefurahi sana mama kuzuia kupeleka nje
Huna akili pmbafuuu[emoji706],ngoja siku wakuguse kwenye hicho kimradi chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…