Man from cuba
JF-Expert Member
- May 2, 2021
- 571
- 1,394
Kuna watu bado wanashabikia upuuzi wa chanjo za wazungu mimi bado naamini huu ugonjwa ni vita vya kiuchumi RIP MAGUFULINyingi tu, juzi walitangaza kwamba zaidi ya raia 2,400 waliokuwa wamekwisha pata chanjo kamili ya KOVID baadae walikumbwa na maambukizi - yaani chanjo hizi type ya mRNA haziaminiki..