#COVID19 Rais Samia, Serikali yako imekiri Corona ipo na bado inashiriki kuisambaza kwa kuruhusu matamasha

Wewe kijana fanyakazi achana na kuwaza mambo ya corona. Hujasikia WHO wameshasema tutaishi nayo hiyo Corona siyo ya kuisha leo wala kesho hata Hayati Magufuli alishasema Covid 19 tutaishi nayo kama magonjwa mengine kama Ukimwi n.k.
 
Nyingi tu, juzi walitangaza kwamba zaidi ya raia 2,400 waliokuwa wamekwisha pata chanjo kamili ya KOVID baadae walikumbwa na maambukizi - yaani chanjo hizi type ya mRNA haziaminiki...
Na sasa hivi wanashirkiana na wale wa ufipa kabisa
 
Hahahaha
 
Maambukizi ya Corona na ripoti ya vifo iko juu,sasa hivi kuna matamasha yanaendeshwa na Clouds fm mfano jana ilifanyika Kigoma bado E fm tamasha la bar 2 bar mziki mnene limefanyika jana bado Nandi Festival.
Bado leo Simba na Yanga,hivi kwanini hatua zisichukuliwe kama wapinzani walivyokatazwa Mwanza? Hii nchi hii sijui viongozi wetu wana lengo gani na hii Coro a+Concerts
 
Akili za kuambiwa changanya na zako mkuu, jiongeze watu hawajalazimishwa kwenda kwenye hayo matamasha ni mtu mwenyewe na uhamuzi wake.
 
Machadema yakishiriki yatapigwa marufuku
 
Akili za kuambiwa changanya na zako mkuu, jiongeze watu hawajalazimishwa kwenda kwenye hayo matamasha ni mtu mwenyewe na uhamuzi wake.
Kichwa chako kina ubongo au makamasi,na makongamano ya katiba yaliyokatazwa kwa sababu ya korona??
 
Hayo hayapelekei kusambaa kwa maambukizi ya corona,
Mikusanyiko kwa ajili ya kudai katiba mpya tu ndo hupelekea kusambaa kwa maambukizi ya covid!

Huu upuuzi wa hawa majambazi ya ccm wanaenda kuulipia soon
Kabisa yaani wao wanajichanganya
 
Matamasha ya Katiba ndio yanaleta sana Corona. hayo mengine hapana, ni mikusanyiko halali hivyo hayana Corona
 
Yale matamasha na mikesha having ulazima Kwa sasa
 
Wapelekeeni matamasha waongeze watu ujinga

Ova
 
Matamasha na makongamano ambayo siyo ya chadema hayaenezi Corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…