Hata wanaoishia njiani wasubiri wafike miaka 60Mbunge anayeendelea na ubunge asilipwe kwa mkupuo, mkupuo uwe kwa wale tu walioshindwa uchaguzi. Hawa wengine waendelee kutunziwa kama inavyofanyika kwa watumishi wa umma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wanaoishia njiani wasubiri wafike miaka 60Mbunge anayeendelea na ubunge asilipwe kwa mkupuo, mkupuo uwe kwa wale tu walioshindwa uchaguzi. Hawa wengine waendelee kutunziwa kama inavyofanyika kwa watumishi wa umma.
Kiukweli suala la pensheni limepitwa na wakati na ni legal pyramid scheme.Akizungumzia kuhusu malalamiko yaliyopo kwenye kikokotoo katika ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi, Oysterbay, leo Septemba 4, 2023, Rais Samia amesema Serikali inafanyia kazi suala hilo na itaangalia njia nzuri ili kuondoa maneno mengi.
"Tupo tunakifanyia kazi na kuona jinsi tutakavyoenda vizuri kwa sababu masuala ya kikokotoo haya si tu matakwa ya Serikali kutaka kuja na kikokotoo, ni hali ya uchumi na hali ya mifuko yenu ilivyo. Ni hali ya mifuko ilivyo. Tukisema kila anayetoka boom lako hilo hapo, boom lako hilo hapo, miaka 2 tu mifuko ile imekauka." Amesema Rais Samia.
Ameongeza, "Tuliweka hivi ili kuweka sustainability ya mfuko, sasa kwa sababu imepigiwa kelele sana sio tu na jeshi la polisi lakini na wengine, tutakwenda kuangalia sababu tunasema siku zote Serikali yenu ni sikivu. Tutakwenda tuangalie njia nzuri tunayoweza kufanya ili kikokotoo kisilete maneno mengi"
Wabunge wako wangap?Mafao ya Wabunge yanalipwa kutoka mfumo gani? mbona wanalipwa fedha zao zote na hazikaushi mifuko?
Hata kama wapo watano kwani wao siyo watumishi?Wabunge wako wangap?
Askari wako wangapi nchini?