Rais Samia shika fimbo, wanataka kupitia mlango wa nyuma

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Mama unakumbuka Serikali ya JK ilivyoyumba? Ilianza kuyumbishwa Bungeni. Genge ambalo halikuridhishwa na ushindi wa JK 2005 likaungana na genge la mtandao wa JK lililokasirika kwa kukosa vyeo vinono na kuanza kuiandama Serikali Bungeni. Walikuwa wajanja: Hawakuwa wanamtaja JK wala kumshambulia. Tena walikuwa wanamsifia kwa maneno ya kinafki lakini wakaanza na Waziri wake Mkuu Lowassa, wakaja wakapukutisha Mawaziri mmoja baada ya mwingine. Serikali ikapwaya.

Mama kuna watu ambao hadi leo hawajaamini wewe ni Rais. Mwanzoni walitaka kukuita wa mpito. Wengine wanasema huna Awamu yako. Wengine wakasema usirekebishe kitu chochote. Lakini umesimama na umejiimarisha. Sasa wanataka kukuingia kwa njia nyingine. Wanaenda kulekule walipomuendea JK.

Wabunge wengi wanakupenda na ukiwa unaangalia TV na kuona sura zao wanavyoosaidia Serikali yako unaona kabisa inatoka moyoni. Hata wanapokosoa unaona kabisa ni kwa nia ya kusaidia. Ila wapo wachache wanne au watano hivi tukiwa nao huku mitaani hawakusemi vizuri. Wengine rekodi zao zipo. Hata wakiipiga Serikali yako wanawasumbua media na hizi TV za mtandaoni wawaposti.
Bahati nzuri unawajua na jamii inawajua.

Wawili wanasema eti iundwe Kamati Teule ya Umeme kuihoji Serikali yako (bahati nzuri Bunge liliipuuza hoja hii ya kizandiki lakini Mama sisi tunapendekeza Kamati Teule kubali iundwe iangalie masuala yote ya umeme kwa miaka 10 iliyopita halafu tuone nani ataumbuka kwa hapa tulipo leo). Kwenye miaka mitano ya Marehemu hakuna aliyefungua mdomo kuhusu Kamati Teule ya Bunge (ya kuchunguza sakata la wavuvi ingefaa).

Kuna wanaokuona wewe ni dhafu: Mswahili, mwanamke. Hawa wanajua kabisa kwamba umerithi li-Gridi mkweche na mgao hujauleta wewe na wanajua kabisa hata CAG mwaka 2019 alitoa kwenye taarifa yake kwanini umeme unakatikakatika. Taarifa akaileta Bungeni na ikawa mali ya Bunge. Mama hawa watu wanajua wanachofanya kuhoji kilekile CAG wao alichokitoleq maelezo. Mama, wanaokupamba kabla ya kuishambulia Serikali yako au Mawaziri wako ni wale wale wanaokung’ong’a ukiwapa kisogo.

Mama shika fimbo. Kuna mambo umuige Marehemu. Yule alikuwa Chuma haswa hakukubali atenganishwe na Serikali yake na Wateule kisa tu kapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Kuna Waziri mmoja wa Marehemu hadi leo ana laana ya kuchoma mitumbwi na nyavu zetu sisi baadhi ambao tunavua na kutufilisi. Hadi CCM ikasema atolewe. Marehemu aligoma kwasababu alitaka kazi hiyo aifanye mwenyewe. Ndio heshima ya Rais na heshima ya Urais. Waziri huyo huyo akachukua rula na kupima samaki mmoja mmoja kwenye kantini ya Bunge. Wabunge wakaja juu hadi Spika akaja juu.

Marehemu akasimama kidete. Wewe ndio unateua Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na viongozi wengine. Siku ukikubali kelele zikuamulie nani anaweza kazi na nani hawezi kazi, utakuwa huna Serikali. Wewe ndio muamuzi wa mwisho wa nani anakufaa, nani hakufai; nani anakusaidia, nani hakusaidii. Vijana mle ndani ya Bunge wataanza kupigana vikumbo vya 2030 na itakuwa kila siku ni kutaka kukwamishana na mwishowe kukukwamisha. Tunasema Kazi Iendelee.
 
I hate ccm. Ccm ni adui namba moia wa maendeleo ya nchi yetu. Week iliyopita rais mstaafu wa Mozambique mh. Gabuza amepandishwa kizimbani kujibu tuuma za uhujumu uchumi na ufisadi alioufanya kipindi akiwa madarakan

Tanzania sijui tunashindwa nini kuwa serious kama Mozambique nchi ambayo imepataa uhuru juzijuzi tu. Inasikitisha sana kuona sisi kazi yetu kuwapa kinga majizi na wetesi wetu tukiwaacha wao na familia zao na marafiki wako wakiinjoi keki ya taifa peke yao na ndio maana tukisema tunataka katiba myya wanakuja juu na kusema ni chokochoko

Watz tujiunge tuwe kitu kimoja tudai katiba mpya ili keki ya taifa tuifaidi wote
 
Mama unakumbuka Serikali ya JK ilivyoyumba? Ilianza kuyumbishwa Bungeni. Genge ambalo halikuridhishwa na ushindi wa JK 2005 likaungana na genge la mtandao wa JK lililokasirika kwa kukosa vyeo vinono na kuanza kuiandama Serikali Bungeni. Walikuwa wajanja: Hawakuwa wanamtaja JK wala kumshambulia. Tena walikuwa wanamsifia kwa maneno ya kinafki lakini wakaanza na Waziri wake Mkuu Lowassa, wakaja wakapukutisha Mawaziri mmoja baada ya mwingine. Serikali ikapwaya.

Mama kuna watu ambao hadi leo hawajaamini wewe ni Rais. Mwanzoni walitaka kukuita wa mpito. Wengine wanasema huna Awamu yako. Wengine wakasema usirekebishe kitu chochote. Lakini umesimama na umejiimarisha. Sasa wanataka kukuingia kwa njia nyingine. Wanaenda kulekule walipomuendea JK.

Wabunge wengi wanakupenda na ukiwa unaangalia TV na kuona sura zao wanavyoosaidia Serikali yako unaona kabisa inatoka moyoni. Hata wanapokosoa unaona kabisa ni kwa nia ya kusaidia. Ila wapo wachache wanne au watano hivi tukiwa nao huku mitaani hawakusemi vizuri. Wengine rekodi zao zipo. Hata wakiipiga Serikali yako wanawasumbua media na hizi TV za mtandaoni wawaposti.
Bahati nzuri unawajua na jamii inawajua.

Wawili wanasema eti iundwe Kamati Teule ya Umeme kuihoji Serikali yako (bahati nzuri Bunge liliipuuza hoja hii ya kizandiki lakini Mama sisi tunapendekeza Kamati Teule kubali iundwe iangalie masuala yote ya umeme kwa miaka 10 iliyopita halafu tuone nani ataumbuka kwa hapa tulipo leo). Kwenye miaka mitano ya Marehemu hakuna aliyefungua mdomo kuhusu Kamati Teule ya Bunge (ya kuchunguza sakata la wavuvi ingefaa).

Kuna wanaokuona wewe ni dhafu: Mswahili, mwanamke. Hawa wanajua kabisa kwamba umerithi li-Gridi mkweche na mgao hujauleta wewe na wanajua kabisa hata CAG mwaka 2019 alitoa kwenye taarifa yake kwanini umeme unakatikakatika. Taarifa akaileta Bungeni na ikawa mali ya Bunge. Mama hawa watu wanajua wanachofanya kuhoji kilekile CAG wao alichokitoleq maelezo. Mama, wanaokupamba kabla ya kuishambulia Serikali yako au Mawaziri wako ni wale wale wanaokung’ong’a ukiwapa kisogo.

Mama shika fimbo. Kuna mambo umuige Marehemu. Yule alikuwa Chuma haswa hakukubali atenganishwe na Serikali yake na Wateule kisa tu kapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Kuna Waziri mmoja wa Marehemu hadi leo ana laana ya kuchoma mitumbwi na nyavu zetu sisi baadhi ambao tunavua na kutufilisi. Hadi CCM ikasema atolewe. Marehemu aligoma kwasababu alitaka kazi hiyo aifanye mwenyewe. Ndio heshima ya Rais na heshima ya Urais. Waziri huyo huyo akachukua rula na kupima samaki mmoja mmoja kwenye kantini ya Bunge. Wabunge wakaja juu hadi Spika akaja juu.

Marehemu akasimama kidete. Wewe ndio unateua Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na viongozi wengine. Siku ukikubali kelele zikuamulie nani anaweza kazi na nani hawezi kazi, utakuwa huna Serikali. Wewe ndio muamuzi wa mwisho wa nani anakufaa, nani hakufai; nani anakusaidia, nani hakusaidii. Vijana mle ndani ya Bunge wataanza kupigana vikumbo vya 2030 na itakuwa kila siku ni kutaka kukwamishana na mwishowe kukukwamisha. Tunasema Kazi Iendelee.
Narudia tena ,amuige mambo yoote ila asije kuvuruga biashara na uchumi kiujumla tukaanza ku toil upya.

Hata mambo ya uhuru wa Maoni uwe regulated kiasi .
 
Mama unakumbuka Serikali ya JK ilivyoyumba? Ilianza kuyumbishwa Bungeni. Genge ambalo halikuridhishwa na ushindi wa JK 2005 likaungana na genge la mtandao wa JK lililokasirika kwa kukosa vyeo vinono na kuanza kuiandama Serikali Bungeni. Walikuwa wajanja: Hawakuwa wanamtaja JK wala kumshambulia. Tena walikuwa wanamsifia kwa maneno ya kinafki lakini wakaanza na Waziri wake Mkuu Lowassa, wakaja wakapukutisha Mawaziri mmoja baada ya mwingine. Serikali ikapwaya.

Mama kuna watu ambao hadi leo hawajaamini wewe ni Rais. Mwanzoni walitaka kukuita wa mpito. Wengine wanasema huna Awamu yako. Wengine wakasema usirekebishe kitu chochote. Lakini umesimama na umejiimarisha. Sasa wanataka kukuingia kwa njia nyingine. Wanaenda kulekule walipomuendea JK.

Wabunge wengi wanakupenda na ukiwa unaangalia TV na kuona sura zao wanavyoosaidia Serikali yako unaona kabisa inatoka moyoni. Hata wanapokosoa unaona kabisa ni kwa nia ya kusaidia. Ila wapo wachache wanne au watano hivi tukiwa nao huku mitaani hawakusemi vizuri. Wengine rekodi zao zipo. Hata wakiipiga Serikali yako wanawasumbua media na hizi TV za mtandaoni wawaposti.
Bahati nzuri unawajua na jamii inawajua.

Wawili wanasema eti iundwe Kamati Teule ya Umeme kuihoji Serikali yako (bahati nzuri Bunge liliipuuza hoja hii ya kizandiki lakini Mama sisi tunapendekeza Kamati Teule kubali iundwe iangalie masuala yote ya umeme kwa miaka 10 iliyopita halafu tuone nani ataumbuka kwa hapa tulipo leo). Kwenye miaka mitano ya Marehemu hakuna aliyefungua mdomo kuhusu Kamati Teule ya Bunge (ya kuchunguza sakata la wavuvi ingefaa). Kuna wanaokuona wewe ni dhafu: Mswahili, mwanamke. Hawa wanajua kabisa kwamba umerithi li-Gridi mkweche na mgao hujauleta wewe na wanajua kabisa hata CAG mwaka 2019 alitoa kwenye taarifa yake kwanini umeme unakatikakatika. Taarifa akaileta Bungeni na ikawa mali ya Bunge. Mama hawa watu wanajua wanachofanya kuhoji kilekile CAG wao alichokitoleq maelezo. Mama, wanaokupamba kabla ya kuishambulia Serikali yako au Mawaziri wako ni wale wale wanaokung’ong’a ukiwapa kisogo.

Mama shika fimbo. Kuna mambo umuige Marehemu. Yule alikuwa Chuma haswa hakukubali atenganishwe na Serikali yake na Wateule kisa tu kapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Kuna Waziri mmoja wa Marehemu hadi leo ana laana ya kuchoma mitumbwi na nyavu zetu sisi baadhi ambao tunavua na kutufilisi. Hadi CCM ikasema atolewe. Marehemu aligoma kwasababu alitaka kazi hiyo aifanye mwenyewe. Ndio heshima ya Rais na heshima ya Urais. Waziri huyo huyo akachukua rula na kupima samaki mmoja mmoja kwenye kantini ya Bunge. Wabunge wakaja juu hadi Spika akaja juu. Marehemu akasimama kidete. Wewe ndio unateua Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na viongozi wengine. Siku ukikubali kelele zikuamulie nani anaweza kazi na nani hawezi kazi, utakuwa huna Serikali. Wewe ndio muamuzi wa mwisho wa nani anakufaa, nani hakufai; nani anakusaidia, nani hakusaidii. Vijana mle ndani ya Bunge wataanza kupigana vikumbo vya 2030 na itakuwa kila siku ni kutaka kukwamishana na mwishowe kukukwamisha. Tunasema Kazi Iendelee.
Wewe jumajuma ni team january Makamba na umepost kinafiki.
Ume post ki-msoga msoga

Kwa nini ulalamimikie wabunge wanaothubutu kuhoji ukweli wa sintofahamu iliyoko wazi kabisa na ni kero kwa wananchi na wajasiriamali wote nchini...TANESCO?

Mmekuja pale mmewatoa wataalamu wenye fani husika kwenye Bodi.
makamba ameingiza wapigaji wake....

Gachuma
Felschemi
Mchechu
Maajar
Bakhressa (mtoto wake).

Je kwa mtaji huo tukianza kuwachambua hao watu wa Makamba kuna tija tunaitarajia toka TANESCO ?

Tume ikiundwa ina maana itachunguza kuanzia huko kwenye uvunjaji wa bodi ya TANESCO kinyemela.

Tume ikiundwa itaenda kukagua maintenance schedules za mitambo yote kwa muda uliotajwa ili kujiridhisha kama kweli ilikuwa haifanyiwi matengenezo,
Kama anavyotuambia makamba kwa sasa.

Tume iliyokataliwa kuundwa na Spika tulia ingeweka mambo yote hadharani ikiwemo umuhimu wa hiyo mikataba ya mabilioni anayoisaini kwa kasi makamba wako huyo.

Spika tulia ameanza kutuonyesha mapema ni kwa nini imetumika nguvu kubwa kuhakikisha..
Ndugai out...na tulia in...

Haikuwa ajali bali ni mpango mzima.wenye uelewa tunaona hilo.
Mafisadi wanajua wazi kwamba, hawawezi kufanikisha mipango yao bila kulidhibiti BUNGE

Na hiyo ndio kazi accomplished...

Kwako wewe unaangalia maslahi ya utawala wa mama na ulaji wa mawaziri wake wachache wezi.
Kuliko kutetea maslahi ya wengi?

Kwako wewe zile kashfa za serikali ya kikwete hazikukera hata kidogo ila madaraka na Maslahi ya kikwete ndio ilikuwa kipaumbele chako!

Na mambo yanavyoenda sasa na hao hao wapigaji wa Kikwete kurudishwa kwa kasi.
Wewe huyaoni ila unamkumbusha mama kuangalia uraisi wake tu.

Mnayo kazi kubwa sana team
msoga na nyinyi ndio mtakaomponza huyo mama.
 
Mama unakumbuka Serikali ya JK ilivyoyumba? Ilianza kuyumbishwa Bungeni. Genge ambalo halikuridhishwa na ushindi wa JK 2005 likaungana na genge la mtandao wa JK lililokasirika kwa kukosa vyeo vinono na kuanza kuiandama Serikali Bungeni. Walikuwa wajanja: Hawakuwa wanamtaja JK wala kumshambulia. Tena walikuwa wanamsifia kwa maneno ya kinafki lakini wakaanza na Waziri wake Mkuu Lowassa, wakaja wakapukutisha Mawaziri mmoja baada ya mwingine. Serikali ikapwaya.

Mama kuna watu ambao hadi leo hawajaamini wewe ni Rais. Mwanzoni walitaka kukuita wa mpito. Wengine wanasema huna Awamu yako. Wengine wakasema usirekebishe kitu chochote. Lakini umesimama na umejiimarisha. Sasa wanataka kukuingia kwa njia nyingine. Wanaenda kulekule walipomuendea JK.

Wabunge wengi wanakupenda na ukiwa unaangalia TV na kuona sura zao wanavyoosaidia Serikali yako unaona kabisa inatoka moyoni. Hata wanapokosoa unaona kabisa ni kwa nia ya kusaidia. Ila wapo wachache wanne au watano hivi tukiwa nao huku mitaani hawakusemi vizuri. Wengine rekodi zao zipo. Hata wakiipiga Serikali yako wanawasumbua media na hizi TV za mtandaoni wawaposti.
Bahati nzuri unawajua na jamii inawajua.

Wawili wanasema eti iundwe Kamati Teule ya Umeme kuihoji Serikali yako (bahati nzuri Bunge liliipuuza hoja hii ya kizandiki lakini Mama sisi tunapendekeza Kamati Teule kubali iundwe iangalie masuala yote ya umeme kwa miaka 10 iliyopita halafu tuone nani ataumbuka kwa hapa tulipo leo). Kwenye miaka mitano ya Marehemu hakuna aliyefungua mdomo kuhusu Kamati Teule ya Bunge (ya kuchunguza sakata la wavuvi ingefaa).

Kuna wanaokuona wewe ni dhafu: Mswahili, mwanamke. Hawa wanajua kabisa kwamba umerithi li-Gridi mkweche na mgao hujauleta wewe na wanajua kabisa hata CAG mwaka 2019 alitoa kwenye taarifa yake kwanini umeme unakatikakatika. Taarifa akaileta Bungeni na ikawa mali ya Bunge. Mama hawa watu wanajua wanachofanya kuhoji kilekile CAG wao alichokitoleq maelezo. Mama, wanaokupamba kabla ya kuishambulia Serikali yako au Mawaziri wako ni wale wale wanaokung’ong’a ukiwapa kisogo.

Mama shika fimbo. Kuna mambo umuige Marehemu. Yule alikuwa Chuma haswa hakukubali atenganishwe na Serikali yake na Wateule kisa tu kapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Kuna Waziri mmoja wa Marehemu hadi leo ana laana ya kuchoma mitumbwi na nyavu zetu sisi baadhi ambao tunavua na kutufilisi. Hadi CCM ikasema atolewe. Marehemu aligoma kwasababu alitaka kazi hiyo aifanye mwenyewe. Ndio heshima ya Rais na heshima ya Urais. Waziri huyo huyo akachukua rula na kupima samaki mmoja mmoja kwenye kantini ya Bunge. Wabunge wakaja juu hadi Spika akaja juu.

Marehemu akasimama kidete. Wewe ndio unateua Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na viongozi wengine. Siku ukikubali kelele zikuamulie nani anaweza kazi na nani hawezi kazi, utakuwa huna Serikali. Wewe ndio muamuzi wa mwisho wa nani anakufaa, nani hakufai; nani anakusaidia, nani hakusaidii. Vijana mle ndani ya Bunge wataanza kupigana vikumbo vya 2030 na itakuwa kila siku ni kutaka kukwamishana na mwishowe kukukwamisha. Tunasema Kazi Iendelee.
Mnahangaika na hangayaa wenu mwisho wa siku mnarudia kusema amuigee JPM..that man was talented..hana uswahl wa jk na hangayaa..endeleeni kutetea vibandiko vyenu huku nchi inazama kusikojulikana shwani nyiee..kwenye mausala ya taifa ukileta bias kisa huyu ni wa kwetu huyuu sio..ndo hayo sasa..na sasa hv watumish wa uma wanatakiwa wajulikane ni wa dini gani na kabila gani..shwain kabisaa..tutaelewana tuu
 
Mama samia endelea hivyohivyo mpaka haters km huyu wajifungue barabarani!
 
Bahati nzuri upinzani haupo strong otherwise 2025 CCM ingetumia nguvu kubwa sana
 
Haya majamaa ni mabingwa sana ya nongwa na kujipendekeza , ilitakiwa wamshauri mama yao kwamba za kuambiwa achanganye na za kwake ni kweli hakuna wanaopenda mafanikio yake na ni kweli kabisa kwamba kuna ambao wanamchukulia poa kwakuwa tu ni mwananmke, na ni kweli kuna ambao bado hawaaamini nkama jiwe alishaondoka, combinenga yooote hii inaufanya uongozi wake kuwa mgumu sana. Nakubaliana na hoja kwamba naye awe chuma lakini kwenye mambo ya msingi na asionee watu kwa hear say
 
Mama unakumbuka Serikali ya JK ilivyoyumba? Ilianza kuyumbishwa Bungeni. Genge ambalo halikuridhishwa na ushindi wa JK 2005 likaungana na genge la mtandao wa JK lililokasirika kwa kukosa vyeo vinono na kuanza kuiandama Serikali Bungeni. Walikuwa wajanja: Hawakuwa wanamtaja JK wala kumshambulia. Tena walikuwa wanamsifia kwa maneno ya kinafki lakini wakaanza na Waziri wake Mkuu Lowassa, wakaja wakapukutisha Mawaziri mmoja baada ya mwingine. Serikali ikapwaya.

Mama kuna watu ambao hadi leo hawajaamini wewe ni Rais. Mwanzoni walitaka kukuita wa mpito. Wengine wanasema huna Awamu yako. Wengine wakasema usirekebishe kitu chochote. Lakini umesimama na umejiimarisha. Sasa wanataka kukuingia kwa njia nyingine. Wanaenda kulekule walipomuendea JK.

Wabunge wengi wanakupenda na ukiwa unaangalia TV na kuona sura zao wanavyoosaidia Serikali yako unaona kabisa inatoka moyoni. Hata wanapokosoa unaona kabisa ni kwa nia ya kusaidia. Ila wapo wachache wanne au watano hivi tukiwa nao huku mitaani hawakusemi vizuri. Wengine rekodi zao zipo. Hata wakiipiga Serikali yako wanawasumbua media na hizi TV za mtandaoni wawaposti.
Bahati nzuri unawajua na jamii inawajua.

Wawili wanasema eti iundwe Kamati Teule ya Umeme kuihoji Serikali yako (bahati nzuri Bunge liliipuuza hoja hii ya kizandiki lakini Mama sisi tunapendekeza Kamati Teule kubali iundwe iangalie masuala yote ya umeme kwa miaka 10 iliyopita halafu tuone nani ataumbuka kwa hapa tulipo leo). Kwenye miaka mitano ya Marehemu hakuna aliyefungua mdomo kuhusu Kamati Teule ya Bunge (ya kuchunguza sakata la wavuvi ingefaa).

Kuna wanaokuona wewe ni dhafu: Mswahili, mwanamke. Hawa wanajua kabisa kwamba umerithi li-Gridi mkweche na mgao hujauleta wewe na wanajua kabisa hata CAG mwaka 2019 alitoa kwenye taarifa yake kwanini umeme unakatikakatika. Taarifa akaileta Bungeni na ikawa mali ya Bunge. Mama hawa watu wanajua wanachofanya kuhoji kilekile CAG wao alichokitoleq maelezo. Mama, wanaokupamba kabla ya kuishambulia Serikali yako au Mawaziri wako ni wale wale wanaokung’ong’a ukiwapa kisogo.

Mama shika fimbo. Kuna mambo umuige Marehemu. Yule alikuwa Chuma haswa hakukubali atenganishwe na Serikali yake na Wateule kisa tu kapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Kuna Waziri mmoja wa Marehemu hadi leo ana laana ya kuchoma mitumbwi na nyavu zetu sisi baadhi ambao tunavua na kutufilisi. Hadi CCM ikasema atolewe. Marehemu aligoma kwasababu alitaka kazi hiyo aifanye mwenyewe. Ndio heshima ya Rais na heshima ya Urais. Waziri huyo huyo akachukua rula na kupima samaki mmoja mmoja kwenye kantini ya Bunge. Wabunge wakaja juu hadi Spika akaja juu.

Marehemu akasimama kidete. Wewe ndio unateua Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na viongozi wengine. Siku ukikubali kelele zikuamulie nani anaweza kazi na nani hawezi kazi, utakuwa huna Serikali. Wewe ndio muamuzi wa mwisho wa nani anakufaa, nani hakufai; nani anakusaidia, nani hakusaidii. Vijana mle ndani ya Bunge wataanza kupigana vikumbo vya 2030 na itakuwa kila siku ni kutaka kukwamishana na mwishowe kukukwamisha. Tunasema Kazi Iendelee.
sisi kama wananchi, tunataka jibu moja tu, kwa nn umeme kipindi cha chuma JPM ulikua haukatikikatiki ovyo (hakukua na mgao???????)
 
Wewe jumajuma ni team january Makamba na umepost kinafiki.
Ume post ki-msoga msoga

Kwa nini ulalamimikie wabunge wanaothubutu kuhoji ukweli wa sintofahamu iliyoko wazi kabisa na ni kero kwa wananchi na wajasiriamali wote nchini...TANESCO?

Mmekuja pale mmewatoa wataalamu wenye fani husika kwenye Bodi.
makamba ameingiza wapigaji wake....

Gachuma
Felschemi
Mchechu
Maajar
Bakhressa (mtoto wake).

Je kwa mtaji huo tukianza kuwachambua hao watu wa Makamba kuna tija tunaitarajia toka TANESCO ?

Tume ikiundwa ina maana itachunguza kuanzia huko kwenye uvunjaji wa bodi ya TANESCO kinyemela.

Tume ikiundwa itaenda kukagua maintenance schedules za mitambo yote kwa muda uliotajwa ili kujiridhisha kama kweli ilikuwa haifanyiwi matengenezo,
Kama anavyotuambia makamba kwa sasa.

Tume iliyokataliwa kuundwa na Spika tulia ingeweka mambo yote hadharani ikiwemo umuhimu wa hiyo mikataba ya mabilioni anayoisaini kwa kasi makamba wako huyo.

Spika tulia ameanza kutuonyesha mapema ni kwa nini imetumika nguvu kubwa kuhakikisha..
Ndugai out...na tulia in...

Haikuwa ajali bali ni mpango mzima.wenye uelewa tunaona hilo.
Mafisadi wanajua wazi kwamba, hawawezi kufanikisha mipango yao bila kulidhibiti BUNGE

Na hiyo ndio kazi accomplished...

Kwako wewe unaangalia maslahi ya utawala wa mama na ulaji wa mawaziri wake wachache wezi.
Kuliko kutetea maslahi ya wengi?

Kwako wewe zile kashfa za serikali ya kikwete hazikukera hata kidogo ila madaraka na Maslahi ya kikwete ndio ilikuwa kipaumbele chako!

Na mambo yanavyoenda sasa na hao hao wapigaji wa Kikwete kurudishwa kwa kasi.
Wewe huyaoni ila unamkumbusha mama kuangalia uraisi wake tu.

Mnayo kazi kubwa sana team
msoga na nyinyi ndio mtakaomponza huyo mama.
Uko sahihi kabisa,mtu anayejiamini kwa aogope tume? January hana muda mrefu toka ateuliwe kwa aogope tume? Nini amefanya kwa muda kikubwa mpaka awatume mamluki wake waje wamtetee? Binafsi sikuwa napenda JPM alivyokuwa harsh kupitiliza na hasa uvunjaji wa sheria na kuwaacha vijana wake kuleta tahaluki ovyo ovyo lakini siamini power system ya Tanesco ingeweza kutembea miaka mitano bila proper service and maintenance. Yale machuma hayaangalii nani yuko madarakani likichoka litasimama tu.
 
Makosa ya January ni haya, kugombea Urais na kushika tatu bora, ukaribu wake na JK, kuwa mtoto wa Makamba Snr, Kuwa bado na nia ya Urais, kuwa na Umri mdogo, kupingana mtazamo na JPM na kukataa kupiga magoti...

tukubali tukatae, kuna watu wanaongozwa na ukabila hivi sasa....kuna makosa mabaya sana yalifanyika awamu fulani kuwajaza watu hao na kuwaaminisha sasa zamu yao...wanaamini wamenyang'anywa ushindi na kuna kitu wanastahili ( sijui kwanini)
 
Uko sahihi kabisa,mtu anayejiamini kwa aogope tume? January hana muda mrefu toka ateuliwe kwa aogope tume? Nini amefanya kwa muda kikubwa mpaka awatume mamluki wake waje wamtetee? Binafsi sikuwa napenda JPM alivyokuwa harsh kupitiliza na hasa uvunjaji wa sheria na kuwaacha vijana wake kuleta tahaluki ovyo ovyo lakini siamini power system ya Tanesco ingeweza kutembea miaka mitano bila proper service and maintenance. Yale machuma hayaangalii nani yuko madarakani likichoka litasimama tu.
Kwa hiyo wewe unaamini huu mgawo umeletwa na maintanance?
Embu fuatilia hizi danadana za sababu zilivyokuwa zinatolewa.

"Ninatoa wiki mbili kwa watendaji wa Tanesco kuhakikisha mgawo wa umeme unakwisha ama sivyo nitawaondoa ofisini" Makamba

"Ninatoa siku kumi kwa makamba kuhakikisha mgawo wa umeme unakwisha" Philip Mpango

"Mgawo wa umeme umeletwa na ukame ulioletwa na upungufu wa mvua" Makamba

"Mgawo wa umeme umeletwa na mabwawa wa kufua umeme kukauka ikiwemo bwawa la Mtera" Makamba

"Bwawa la Mtera limejaa maji na halina upungufu wowote wa maji" Mkuu wa bwawa la Mtera.

"Suluhisho kamili la mgawo wa umeme litapatikana ndani ya masaa 48, subiri muone" Makamba

"Tatizo la mgawo wa umeme limeletwa na maintenance kwenye mitambo!" Makamba.
 
Back
Top Bottom