unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
I hate ccm. Ccm ni adui namba moia wa maendeleo ya nchi yetu. Week iliyopita rais mstaafu wa Mozambique mh. Gabuza amepandishwa kizimbani kujibu tuuma za uhujumu uchumi na ufisadi alioufanya kipindi akiwa madarakan
Tanzania sijui tunashindwa nini kuwa serious kama Mozambique nchi ambayo imepataa uhuru juzijuzi tu. Inasikitisha sana kuona sisi kazi yetu kuwapa kinga majizi na wetesi wetu tukiwaacha wao na familia zao na marafiki wako wakiinjoi keki ya taifa peke yao na ndio maana tukisema tunataka katiba myya wanakuja juu na kusema ni chokochoko
Watz tujiunge tuwe kitu kimoja tudai katiba mpya ili keki ya taifa tuifaidi wote
Tuambie kwanza kuhusu wewe Kwanini bado hujafikishwa mahakamani kwa makosa Yale tusiyojua Lakini wewe Unajua kabisa kuwa Ni jinai umetenda. Kuwa mzalendo nenda polisi.
Shida sio chama mkuu. Shida Ni Sisi watanzania. Tabia na namna zetu ambazo tunazilea na kuleana. Mafanikio yanapimwa kwa kula ulipo iwe kwa kuforge au kuiba directly. Mimi na wewe tukibadilika tukajua majukumu yetu na nafasi zetu, hatutumia nguvu kwenye mambo haya. Wezi tutawatambua na watahukumiwa Badala ya kusifiwa.