Mkuu!
mundaliku
Tume itaondoa hizi kauli tata ikiwemo ya kumuangushia Magufuli jumba bovu.
Kwa muda mfupi
makamba aliokaa hapo wizarani madudu yamekuwa mengi.
Mkuu
mundaliku
Tume pia itapitia record zoote za Maintenance schedules za Tanesco tangia 2015.ili kujiridhisha kama kweli mitambo ilikuwa haitengenezwi kama anavyodai
makamba
Tume pia itaangalia kiini cha kuivunja bodi ya awali ya kina Profesa
mruma wabobezi wa fani hiyo.
Waliokuwa na mafanikio mazuri na kuwaleta kina Gachuma na Mchechu wa NHC zamani, ambao kitaaluma ni mambumbumbu wasio wataaluma wa fani hiyo.
Pia tume itaamgalia kwa nini
makamba kwa muda mfupi ameingia kwa kasi mikataba miwili ya mabilioni isiyo na tija kwa watanzania wala Tanesco.
Tunapoongea...hatukurupuki bali tuna hasira na wapigaji.