Rais Samia shika fimbo, wanataka kupitia mlango wa nyuma

Tuambie kwanza kuhusu wewe Kwanini bado hujafikishwa mahakamani kwa makosa Yale tusiyojua Lakini wewe Unajua kabisa kuwa Ni jinai umetenda. Kuwa mzalendo nenda polisi.

Shida sio chama mkuu. Shida Ni Sisi watanzania. Tabia na namna zetu ambazo tunazilea na kuleana. Mafanikio yanapimwa kwa kula ulipo iwe kwa kuforge au kuiba directly. Mimi na wewe tukibadilika tukajua majukumu yetu na nafasi zetu, hatutumia nguvu kwenye mambo haya. Wezi tutawatambua na watahukumiwa Badala ya kusifiwa.
 
Duu
Mh mwezi wa kwanza una mbinu nyingi sana. Nakukubali mh ndiyo maana wakati unatumia jina la KIGOGO walikusaka kila Kona lakini hawakukunasa.
 
Mwandikie mawazo haya yeye rais! Hapa siyo mahali pake. Hakuna mama hapa, hapa tupo wa jf.
 
Well written big brother. Tatizo tukihoji wanajitokeza kusema mama anahujumiwa. Yeye ndiye anatuhujumu kwa kutokutusikiliza na kudhani kila kitu ni siasa.
Nadhani kwa sasa haoni,labda tusubirie kitabu atakachoandika aki'confess madhaifu katika uongozi wake.
 
Kwa kuwa hayuko kwenye kula urefu wa kamba anyamaze siyo?
Huyo wanamchukia wasukuma wenzake kwa lile suala la nyavu za wavuvi. Ukiona jamaa zako wanaokuzika ukifa wakiamua kukuchukia inabidi ujiangalie mara mbili mbili.
 
Nunua solar
Anataka umeme afungue mashine ya kusaga wewe unamwambia anunue sola Ina maana serikali yenye jukumu la kutupatia umeme imeshindwa.
Huyo wanamchukia wasukuma wenzake kwa lile suala la nyavu za wavuvi. Ukiona jamaa zako wanaokuzika ukifa wakiamua kukuchukia inabidi ujiangalie mara mbili mbili.
Wewe siyo msukuma hilo la kumchukua naona ni stori yako tu.
 
January ana miaka 48, huo sio umri mdogo.
 
Anataka umeme afungue mashine ya kusaga wewe unamwambia anunue sola Ina maana serikali yenye jukumu la kutupatia umeme imeshindwa.

Wewe siyo msukuma hilo la kumchukua naona ni stori yako tu.
Mpina ni msukuma huyo. Wavuvi wanamchukia mpaka kesho, ndio kipindi kile walipopima samaki bungeni kwa rula za shuleni. Mpaka Ndugai akalaani kitendo kile.
 
Anataka umeme afungue mashine ya kusaga wewe unamwambia anunue sola Ina maana serikali yenye jukumu la kutupatia umeme imeshindwa.

Wewe siyo msukuma hilo la kumchukua naona ni stori yako tu.
Kuna sola za kuzalisha hadi megawatts za umeme, mashine ya kusaga ni Watts chache sana.
 
Kuna sola za kuzalisha hadi megawatts za umeme, mashine ya kusaga ni Watts chache sana.
watt 180 = sh 1400000/= hiyo ya kutosha kuendesha horsepower 25 itakuwa sh ngapi?,utetezi mwingine sijui umelenga nini?
 
Naoma mmeamka na ndelemo na vifijo kama waziri hatoshi hatoshi tu lazima asemwe hadharani
 
Wewe ni fisadi January?
 
BADALA UMKUMBUSHE AKANYONYESHE UNAMSHAURI JUU YA MZIGO AMBAO TAYARI USHAMSHINDA. HAKIKA MACHO WAKATI MWINGINE YANAWEZA KUSIMAMA KAMA VITOBO AU VITUNDU FULANI TU.NASHUKURU WANAOMFITINI NI WA NDANI MWAKE. POLE MAMA.
 
Hawa vilaza wacha wajizalilishe…
 
Mkuu!
mundaliku

Tume itaondoa hizi kauli tata ikiwemo ya kumuangushia Magufuli jumba bovu.

Kwa muda mfupi makamba aliokaa hapo wizarani madudu yamekuwa mengi.

Mkuu mundaliku
Tume pia itapitia record zoote za Maintenance schedules za Tanesco tangia 2015.ili kujiridhisha kama kweli mitambo ilikuwa haitengenezwi kama anavyodai makamba

Tume pia itaangalia kiini cha kuivunja bodi ya awali ya kina Profesa mruma wabobezi wa fani hiyo.
Waliokuwa na mafanikio mazuri na kuwaleta kina Gachuma na Mchechu wa NHC zamani, ambao kitaaluma ni mambumbumbu wasio wataaluma wa fani hiyo.

Pia tume itaamgalia kwa nini makamba kwa muda mfupi ameingia kwa kasi mikataba miwili ya mabilioni isiyo na tija kwa watanzania wala Tanesco.

Tunapoongea...hatukurupuki bali tuna hasira na wapigaji.
 
Huko ni kimjaza ujinga.

Maana yake aanze kupambana na watu siyo matatizo ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…