Rais Samia shika fimbo, wanataka kupitia mlango wa nyuma

Makamba ana umli mdogo au umevuta kuba humuoni?
Mtu anatafuta hamsini wewe unamuita mdogo?
Hiyo 25 pengine atakua n 54 au sasa huyo ndo mdogo?
 
Kwenda huko unajipendekeza bure tu. Mama ajitahidi atufikishe 2025 tu. Ndio maana tunasema ni rais wa mpito.
CCM ni chama cha mapinduzi ya kijamaa. Hatutaki rais wa kujipendekeza na kuombaomba kwa nchi za kibeberu. Tunataka mwelekeo wa usawa kwenye uchumi uadilifu wa viongozi na ubunifu kuleta maendeleo na kujenga kujitegemea.
Sio ooh nimetoka ulaya nimepata vijisenti. Viongozi fisadi wanapenda kukopakopa na misaada kutoka nje ili wakate panga misaada wala wananchi hawapata manufaa yoyote.
Kwa watoa misaada ya aina hiyo viongozi wetu wanazidi kuwahusudi na kisaikolojia tunadhurika kwa kua ombaomba na tegemezi huku nchi yetu ikiporwa uchumi wake na mabeberu.
 
Kimsingi umeyaandika ya msingi sana, naamini wapo wasaidizi wake wanapita humu ila kwa hulka na silka yake yule Mama ni msikivu atafanyia kazi ushauri.
 
Kumbuka kaachiwa miradi mikubwa na marehemu. Abakie humu humu ndani asipate chochote na miradi ife ili mpate cha kuongea!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…