Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
 
CHADEMA wanamdharau sana Rais SSH kwa kuwa ni mpole, wanataka afuate matakwa yao. Hapana akifanya hivyo atakuwa siyo Rais wa Tanzania. Freeman Mbowe yeye mwenyewe hachezewi hivi akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Tumemuona alivyolinda kiti chake cha UENYEKITI mpaka kwa kumwaga damu. Kwa nini wasimsikilize Rais SSH aliposema Katiba isubiri kwanza ajenge uchumi?

Mbona waliufyata kwa Mwendazake ambaye alikuwa katili kupitiliza? Wananchi watawachoka kwa kuwa chama cha harakati na matukio. Kajipangeni namna ya ku-deal na Rais SSH. Wananchi wanamkubali anavyochukua hatua kupanga uchumi.

Na Katiba hajakataa, kasema nipeni muda.

Lakini akina Mbowe wanataka wamuendeshe kama gari bovu? HAPANA huyu ni Rais wetu wote na anayoyafanya tunayaona
 
Kabisa!
.
Jakaya aliwabembeleza wakaishia kumnyea kichwani,,!

Hata vijana wadogo kina Mnyika wakamwita dhaifu.
Acheni kuonyesha kiwango cha upumbavu na ujinga wenu,hata wanao watumia wanapaswa kujitafakari kama wanawatumia watu sahihi, ila kwa kuwatumia vilaza hata wao Bila shaka ni vilaza wa viwango vya sgra.
 
Usitolee povu lako mimi!..

Nenda road belgiji wako kasema.
Screenshot_20210721-172136_Twitter.jpg
 
Mama hakutaka hayo yote, mnampa wakati mgumu kuiambia dunia alipo ksmanda Mbowe
 
Hawa ni kwenda nao hivihivi mpaka waombe poo
Sasa kama punguani ndio wanaotumwa kuja na upupu humu,wanaowatuma wajitafakari keanu upupu wao unapotea na hufanyi kazi iliyotarajiwa,hivyo no upotevu wa rasilimali nyingi wanazowekeza.
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.
Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.
Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.
Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako. Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.
Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.
Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Mama kazia hapo hapo,usicheza na wajinga watakupaka kinyesi hawa watu wanaongozwa na chizi toka Machame
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.
Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.
Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.
Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako. Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.
Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.
Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Ccm hakuna wakuwabembeleza, pia twende Sina mna polis , tuone Kama sonoma itawaacha salama, mmelikoroga mtalinywa, hakuna wa kuwabembeleza ,katiba mtaandika na inakuja hakuna wa kuzuia, na mwachieni Mbowe na wengine ,ni lazima na sio ombi,
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.
Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.
Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.
Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako. Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.
Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.
Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Aendelee kumimina ajira mi sitakuwa na neno naye mana hata katiba ya sasa siielewa na wala sijaelimishwa, sasa mpya ya Nini, Piga kazi mama yetu mpendwa
 
Back
Top Bottom