mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Wewe Countryside usimdanganye mama kwani bado tunampenda. Akiendelea kuzingua tutamlilia Fundi Mkuu yampate yaliyompata yule bwana 17.3.2021Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.
Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.
Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.
Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.
Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.
Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.
Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.