Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

Kwahio inaonyesha wazi kuwa unajua kuna uchafu mwingi umefanywa na unaendelea kufanywa ili wabunge wa upinzani wasiingie bungeni, ndio maana mataga akili zenu zinapenda kuburutwa tuu
Kumbe hujanielewa ,kelele zote wanazopiga hawa machedema wanaamini kuwa katiba mpya itawapa ubunge ,too low kwa kweli
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Makato yapo kwa wote hayachagui CCM wala CHADEMA mpuuzi wewe
 
Kwani mambo hayo si aliondoka nayo magu?

Sasa hivi mama anaupiga mwingi, anawakomesha mataga, sukuma gang na kufuta legacy
Hayo matakataka yote yanatokana na ubovu wa katiba hii iliyopo.
Katiba mpya ndio itakuwa dawa kamili ya kuziba hizo nyufaa zilizoibuka na kulijenga TAIFA letu
 
Nchi hii watanzania wanaweza kujipigania bila wanasiasa wenye agenda zao, mbona tozo kila raia alipaza sauti na ikasikika Hadi Rais akasema lizungumuzwe, Pia unapo deal na watu wenye power you have to be smart na kuja na long strategy Sasa hii agenda ya katiba Raia wengi hawaijali maana haiwagusi direct na hamna elimu ya kutosha, pia kuanza kutumia nguvu bila kutii mbona imeanza awamu hii tu wakati wa jiwe watu waliufyata mikia

Wanasiasa wanakosa gani kudai jambo wanaliona ni haki yao? Mimi sio mwanasiasa na ninataka katiba mpya, au we kipimo cha mwananchi ni kipi?miaka 6 iliyopita tulijadili sana kuhusu katiba mpya na rasimu ya Warioba ipo, wakati huo elimu ilikuwa kubwa kuliko sasa?

Hilo la kudeal na wenye power unasema inatakiwa uwe smart, nimekupa mfano wa ACT, mbona hatuoni huo usmart wao ukileta tija? Kutumia nguvu ipo siku zote, ama hujui Aqwilina aliuwawa vipi? Isitoshe awamu iliyopita ilikuwa ya shetani, na tukampa Mungu jukumu la kudeal na shetani, nadhani unajua saa hii shetani yuko wapi. Jitahidi usiwe bendera fuata upepo Dada mpendwa.
 
CHADEMA wanamdharau sana Rais SSH kwa kuwa ni mpole, wanataka afuate matakwa yao. Hapana akifanya hivyo atakuwa siyo Rais wa Tanzania. Freeman Mbowe yeye mwenyewe hachezewi hivi akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Tumemuona alivyolinda kiti chake cha UENYEKITI mpaka kwa kumwaga damu. Kwa nini wasimsikilize Rais SSH aliposema Katiba isubiri kwanza ajenge uchumi?

Mbona waliufyata kwa Mwendazake ambaye alikuwa katili kupitiliza? Wananchi watawachoka kwa kuwa chama cha harakati na matukio. Kajipangeni namna ya ku-deal na Rais SSH. Wananchi wanamkubali anavyochukua hatua kupanga uchumi.

Na Katiba hajakataa, kasema nipeni muda.

Lakini akina Mbowe wanataka wamuendeshe kama gari bovu? HAPANA huyu ni Rais wetu wote na anayoyafanya tunayaona
Nani amebomoa uchumi wa Kati?
 
Maisha magumu yapo kwa wote
Hata yule aliepo ubelgini na Canada ,wale si wanalishwa?mbowe si anachangiwa na wanachadema ?sidhani kama hawa wana maisha magumu na ndio maana maisha yao yote ni kupinga pinga tu chochote hata kama hakina mantiki ,juzi nilimsikia huyu mpuuzi wenu akisema eti watanzania walazimishwe chanjo ya Corona
 
Katiba mpya ya kuwezesha chadema kushika madaraka ndio itaniletea pesa?
Hapo ndipo unapoweka wazi ujinga wako na Mwenyekiti wenu yaani mawazo yenu ya kijinga ya kuwa katiba mpya yatawaweka Chadema Madarakani...hivi asingekufa Mwendazake Mama yenu angekuwa wapi?
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Kabisa maana walianza NAMUONYA RAIS, mara lissu anamchimba biti mara wanaanza kupanga maandamano
 
Ccm hakuna wakuwabembeleza, pia twende Sina mna polis , tuone Kama sonoma itawaacha salama, mmelikoroga mtalinywa, hakuna wa kuwabembeleza ,katiba mtaandika na inakuja hakuna wa kuzuia, na mwachieni Mbowe na wengine ,ni lazima na sio ombi,
Katiba ya wapi hii hii ya Tanzania au mnachezeshwa shere tuu.Uchaguzi 2025 utaendeshwa na katiba hii.
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Hii kitu kinachoitwa Uhuru wa kujieleza wabongo, hasa uliowataja, hawajui kuutumia. Matusi, kejeli, nk ni kawaida yao. Mama, fuata Magu's Model.
 
Je tunatazamwa vipi na mataifa ya nje ambayo pengine hawatambui kama CHADEMA ni uchwara kama unavyodai ila wao wanatambua kama OPPOSITION PARTY? Je matukio haya hayana hasara hasa katika
suala la uwekezaji nchini?
 
Mkuu

Nadhani unafeli

Hii violence unayofanyia legal opposition ukabaki salama

Magufuli hakubaki salama....na mnataka akopi huko...Tunarudi North Korea

Tukirudi North Korea,mama hana maisha marefu

Hapo ni Mwanza tu,likitoka mwanza litaenda Arusha,likitoka Arusha litaenda pengine,kila mkoa utakua unashika watu 1,000 mikoa 25 utashika watu 25,000,una jela hiyo wewe maiti?

Na as kamata inavyozidi kwenda na mikutano inakua mingi,hii sio solution endelevu

Fanya hivi,ita bunge vyama vya upinzani viwe outlawed

Then ua viongozi wote,then uone whats next!

Tumieni ubongo zenu,au muombeni Kikwete formula....

Soon Lissu anakuja,mabalozi wote wataanza kutoa matamko sasa hivi,then sijui utakua unakaaje huko Ikulu?

Kumbuka 50% ya Tanzania wanapenda opposition......Narudia tena 50%....umize vichwa acheni majibu mafupi ya kipumbavu

Katiba tunaitaka,whether you like it or not!
Number 4 was good politician and a bad president,Number 5 was the opposite of number 4
Mkuu

Nadhani unafeli

Hii violence unayofanyia legal opposition ukabaki salama

Magufuli hakubaki salama....na mnataka akopi huko...Tunarudi North Korea

Tukirudi North Korea,mama hana maisha marefu

Hapo ni Mwanza tu,likitoka mwanza litaenda Arusha,likitoka Arusha litaenda pengine,kila mkoa utakua unashika watu 1,000 mikoa 25 utashika watu 25,000,una jela hiyo wewe maiti?

Na as kamata inavyozidi kwenda na mikutano inakua mingi,hii sio solution endelevu

Fanya hivi,ita bunge vyama vya upinzani viwe outlawed

Then ua viongozi wote,then uone whats next!

Tumieni ubongo zenu,au muombeni Kikwete formula....

Soon Lissu anakuja,mabalozi wote wataanza kutoa matamko sasa hivi,then sijui utakua unakaaje huko Ikulu?

Kumbuka 50% ya Tanzania wanapenda opposition......Narudia tena 50%....umize vichwa acheni majibu mafupi ya kipumbavu

Katiba tunaitaka,whether you like it or not!
Mkuu Hebu pata siku ukiwa free upitie comments za page BBC swahili kule FB!!
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Hatuwezi kukubali hawa vichaa wachache wa Chadema watuletee matatizo. Mama kazi iendelee
 
Back
Top Bottom