Mkuu
Wannachi majumbani mwao wanaongelea Katiba Mpya
Mkuu,worldwide jana breaking news wanajua Tanzania opposition ipo detained sababu wanadai katiba mpya
Mkuu,mijadala kwenye maTV kila mwanasiasa akihojiwa kuna pahali atazungumzia katiba mpya
Mijadala ndio imeanza baada ya upumbavu mlioanza jana
Na mind you,Mwanza watu wapo,mtafanya kila kitu ila watafanya mkutano regardless ya siku
Another proof ni threads za katiba mpya zinavyoongezeka humu JF na mitandao mingine yote
Plus,watu wenye nguvu TZ wanaongelea katiba mpya sio warioba sio mwanasheria mkuu wa zamani,etc
Maria na Fatuma na Kigogo,etc ni watu wenye nguvu upende usipende,ukubali usikubali,wana command internet following more than all CCM leaders online put together...
Mijadala yao ina nguvu,na wala usijiweke hapa kwa dharau ukadhani numbers dont prove this
Magufuli alikuwepo,kaua watu,kafanya vyote alivyofanya cha ajabu activists ndio waliongezeka online na mijadala ilikua too extreme maana kila mtu alikua anamchukia Magufuli na enablers wake
Mama ana potential ya kupendwa kama Kikwete ila path anayoenda nayo anarudi kule kule kwenye repressive state ambayo inam-cost nguvu zake mno na ni very exhaustive na ni very hard to govern,physically and mentally.....magufuli physically alishindwa akafa kwa moyo kupasuka
Mama physically and mentally atashindwa tu,huwezi kutawala kwa kuua na kulazimisha watu wasijadili kitu,ni uongo na very poor level of thinking and governing
Mwanza ni uuaji uliotokea,nothing less...Na wananchi tunasikia taarifa zote na uonevu wote,usidhani hizi zinasaidia serikali kupendwa,never!