Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Safi sana! Walikuwa na mwelekeo wa kumwona mama kama dhaifu fulani!! Baada ya tukio hili naona heshima itarudi. Haiwezekani ukajifanya kuwa juu ya sheria. Lazima chadema wawe na adabu!
 
Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako.

Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge.

Mama katika nchi hizi za Africa haiwezi kuja kutokea Maendeleo kwa kubembelezana na kuvumilia wanasiasa uchwara. Gia uliyoingiza sasa nenda nayo hiyohiyo nakuhakikishia utafika salama pale unapotaka kwenda.

Hawa wanasiasa uchwara wa chadema ulijaribu kama kuwabembeleza hivi mwanzoni, lilikuwa kosa kubwa sana kwako.

Hawa watu hawajahi kuwa na shukrani kwa mamlaka na siku zote huwa hawaheshimu mamlaka.

Hivyo nakuomba endelea kuwapiga pin hivihivi mpaka maji waite mma, usije kuwapa nafasi tena ya kufanya huu ujinga unaitwa katiba mpya.

Peleka vikosi vya polisi popote wanapokusanyika, Yani iwe bampa to bampa.
Mlevi wa Mbege kama si changaa wewe.
CHADEMA ni nguruwe unaposema SSH abane, wao si WATANGANYIKA?
Kuna mapunda yanajiona hii nchi ni yao pekee, ma nguruwe ya kijani.
 
Usitolee povu lako mimi!..

Nenda road belgiji wako kasema. View attachment 1862445
Sasa ni wakati wa kazi,sio wakati wa distraction.Focus yetu ni kuwaletea wananchi maendeleo,
hatuwezi kuvumilia mapandikizi ya CIA yenye nia ya kuturudisisha nyuma.Nani asiyejua kwamba hawa ni sehemu ya jeshi la Marekani la siri deployed worldwide.They should be dealt with ruthlessly.They have instructions to cause anarchy and derailment.
 
CHADEMA wanamdharau sana Rais SSH kwa kuwa ni mpole, wanataka afuate matakwa yao. Hapana akifanya hivyo atakuwa siyo Rais wa Tanzania. Freeman Mbowe yeye mwenyewe hachezewi hivi akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Tumemuona alivyolinda kiti chake cha UENYEKITI mpaka kwa kumwaga damu. Kwa nini wasimsikilize Rais SSH aliposema Katiba isubiri kwanza ajenge uchumi?

Mbona waliufyata kwa Mwendazake ambaye alikuwa katili kupitiliza? Wananchi watawachoka kwa kuwa chama cha harakati na matukio. Kajipangeni namna ya ku-deal na Rais SSH. Wananchi wanamkubali anavyochukua hatua kupanga uchumi.

Na Katiba hajakataa, kasema nipeni muda.

Lakini akina Mbowe wanataka wamuendeshe kama gari bovu? HAPANA huyu ni Rais wetu wote na anayoyafanya tunayaona
Duuu ukigusa kiti cha mbowe macho yanaongeza centimeter kadhaa.
 
Jibuni hoja za katiba acheni kujibu hoja kwa mtutu wa bunduki

Always mnafeli

Kikwete alishawaambia kabisa,jibuni hoja kwa hoja,na hoja haijibiwi kwa mtutu wa bunduki

Mnafeli sana....mnadhani huu ndio mwisho wa kudai katiba?

Yall dillusional aisee
Katiba mtapewa na CCM na si vinginevyo, ikiwa CCM hatotaka katiba mpya basi hakutakuwepo.
 
Kwahyo wahisani wakinyima nchi misaada ndo achievement yenu, hafu kwanini msitumie huo mda kujijenga kuliko kufanya vitu kwa ku Force mama Samia was fair mkaanza ukaidi bila kuwa smart matokeo ni miaka mitano mnagombana na Dola Hadi wananchi wanawaona nyie ni wahuni na wafanya fujo. Lazima mu study nature ya watanzania na wanachotaka Tena kipindi hichi ambacho nchi imepatia msiba wa Magufuli na kuja Samia nyie mumeanza fujo mnafikiri Kuna Raia wanawaelewa
Kuna yule dogo Mdude katolewa gerezani akiwa hoi,ile katika tu anatangaza hadharani kuwa atamnyoa Rais kwa wembe aliotumia kumnyoa mtangulizi wake.

Haya wakaanzisha hoja ya katiba mpya rai akawajibu kwa heshima kabisa kuwa wampe muda atalishughulikia,badala yake akajitokeza mjinga mmoja nakudai kuwa hawezi kumpa mud la Rais.

Hata kama mtu hakuwa na nia mbaya anajikuta tu anavaa roho ngumu,Ili akabiliane na uhuni wa hawa watu.
 
Itakuja mzee

Mtasumbuliwa sana....hapo ni vyama vya siasa wame spark the discussion,bado vyama vya NGO's havijaingia

Wait and see!

Mnajidanganya sana aisee.....jipangeni kujibu hoja kwa majibu sahihi na sio huu usenge!
Nyenyekeeni Ili muipate hiyo katiba vinginevyo hata aje nani,kama mamlaka husika hazitakuwa tayari kuanzisha mazungumzo katiba itabaki story.

Unamtukana Rais na kumvunjia heshima,alafu hapohapo unataka akurahishie katiba mpya?
 
Nani amebomoa uchumi wa Kati?
Kabomoa Mwendazake. Na tulimshambulia sana humu pamoja na vyama vya UPINZANI. Hatuwezi kuunga mkono wanaotaka kumtoa Rais SSH kwenye mipango yake thabiti. Muache atakeleze kadri ya ratiba yake, mbona kasema subirini kwanza suala la Katiba!!

Ubaya uko wapi?
 
Kuna yule dogo Mdude katolewa gerezani akiwa hoi,ile katika tu anatangaza hadharani kuwa atamnyoa Rais kwa wembe aliotumia kumnyoa mtangulizi wake.

Haya wakaanzisha hoja ya katiba mpya rai akawajibu kwa heshima kabisa kuwa wampe muda atalishughulikia,badala yake akajitokeza mjinga mmoja nakudai kuwa hawezi kumpa mud la Rais.

Hata kama mtu hakuwa na nia mbaya anajikuta tu anavaa roho ngumu,Ili akabiliane na uhuni wa hawa watu.
Na hizo kauli za mdude zilikuwa za kishenzi na kukosa utu bana Mama was so fair, mtu uliyepona kifungo Cha maisha inaanza kutoa kauli mbovu ni kukosa akili, same applies to mbowe eti hataki subira lazima litekelezwe haraka hapo ndio aliharibu walivoona wanasikilizwa na kutokufamyiwa mbaya na Rais wakachukulia ni udhaifu, acha Sasa wanyolewe, CDM need to change their strategies ka hii ya ku crash government imefail waje na new strategy bila hivo watakuwa wanataka chafua tu nchi ikose misaada na wao kutokufata Sheria wakitegemea wahisani wawasaidie ni ujinga, mfano huko mwanza wameambiwa mikusanyiko marufuku kwanini wa force, mbowe mwenyewe alikataza watu msibani kisa coronavirus why Mwanza wakusanyike, walikuwa Wana mu bip mama Sasa kawapigia
 
Wanafanya mambo ya kipuuzi halafu wanataka kuchekewa na kuitwa ikulu ili wakale sambusa za nyama na juice pamoja na chai wakitoka huko waseme Rais ni dhaifu!.
Hatuwezi kuwaunga mkono kamwe!! Wapumbavu sana kina Mbowe na CDM. Tuliwaunga mkono sana dhidi ya ukatili wa Mwendazake lakini kwa ujinga huu wanafanya dhidi ya Rais SSH HATUKUBALI kamwe.
 
Tangu lini haki inapatikana kwa kunyenyekea?

Taja mfano mmoja kwenye historia waliokua oppressed walinyenyekea kupata haki zao?

Huo mfano haupo

Rais hajatukanwa popote na kwanza ni kupoteza muda kumtukana rais,haina faida na ni counter productive

Walichofanya opposition ni kutumia haki yao kikatiba kukutana na kudiscuss whatever they think is correct with them maana uhuru wa kukutana na expression ipo kwenye katiba kama fundamental right

Cha ajabu watu wanapotumia haki zao rightfully kuna mtu anaitwa Samia anakua emotional na offended personally which is none of opposition's business

Samia kukasirika ni useless kwenye huu mjadala na ni too bad she cant be helped maana watu rightfully wanafanya haki zao

Ingekua tofauti kama wamevunja katiba,which is another issue,na mtoa adhabu ni mahakama sio Samia

Nendeni kwa Michael Jordan Kikwete awape IQ yake maana shule mlifeli,hamna akili yeyote,mpo useless kama lile li marehemu lilokufa,lilikua halina ubongo,linakimbilia majibu rahisi ya kipumbavu nchi ikageuka North Korea ambayo we are paying economic price mpaka leo hii hadi kesho na keshokutwa

Tumieni akili,tuliwasomesha,hapa mtajaza magereza kwa kesi za wataka katiba,hivi kwa mwenye akili hizi ni kesi zenye mantiki kweli au nyie ni vichaa?

Jibuni hoja acheni kua vichaa,vichaa hua hawavuni chochote,mnavuna concenquences za matendo na maamuzi yenu ya ukichaa kupambana na watu wanaotumia haki zao

Sijui shule mlienda mkapata ngapi kwakweli?Maana hamtumii ubongo kabisa,mtavuna ujinga kwenye bongo zenu,always kuna concenquences za maamuzi ya kijinga kama ya Magufuli
Unauliza shule tulienda tukapata ngapi? Tulienda tukapata mamlaka,wewe shule yako imekusaidia nini? maana hata hoja zako kusikilizwa inategemeana na namna tulivyoamka.
 
Hatuwezi kuwaunga mkono kamwe!! Wapumbavu sana kina Mbowe na CDM. Tuliwaunga mkono sana dhidi ya ukatili wa Mwendazake lakini kwa ujinga huu wanafanya dhidi ya Rais SSH HATUKUBALI kamwe.
Rais huyu kaonyesha upendo kwa kila mtu sasa wao wanajifanya kuwa vichwa ngumu kama mabeberu, tabia inayowaponza.
 
Mbowe na matatizo yake

100C5CB6-ACF1-4652-811D-ACBAA06EA73E.jpeg

13675276-1CEC-4106-9A1C-8300BBBC9662.jpeg
 
Back
Top Bottom