Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
cariha usichokijua ni kwamba,siku zote CDM huwa hawapendi kabisa hoja zao zitatuliwe bila kuleta vurugu maana huwa wanahisi kama vile jamii itawapa sifa watekelezaji na sio wao.Kuhusu katiba,walipoona mama hajakataa hoja yao (katiba mpya) na yuko tayari kuitekeleza wakaona kwamba atapata sifa sana hivyo basi wanaamua kutafuta mwanya wa kumjaza simu Rais Ili akiwagusa ionekane kwamba wao ndo wanataka katiba na Rais hataki.Na hizo kauli za mdude zilikuwa za kishenzi na kukosa utu bana Mama was so fair, mtu uliyepona kifungo Cha maisha inaanza kutoa kauli mbovu ni kukosa akili, same applies to mbowe eti hataki subira lazima litekelezwe haraka hapo ndio aliharibu walivoona wanasikilizwa na kutokufamyiwa mbaya na Rais wakachukulia ni udhaifu, acha Sasa wanyolewe, CDM need to change their strategies ka hii ya ku crash government imefail waje na new strategy bila hivo watakuwa wanataka chafua tu nchi ikose misaada na wao kutokufata Sheria wakitegemea wahisani wawasaidie ni ujinga, mfano huko mwanza wameambiwa mikusanyiko marufuku kwanini wa force, mbowe mwenyewe alikataza watu msibani kisa coronavirus why Mwanza wakusanyike, walikuwa Wana mu bip mama Sasa kawapigia
👉🏿Kumbuka waliwahi kulaumu nchi kuwa ndege mija,ila ziliponunuluwa waliponda.
👉🏿Wanalalamika kusuhu upole wa JK,ila Magu alipokaza wakabadilika😂.
👉🏿Walidai kuleta elimu bure,ilipoletwa na CCM inaonekana ni mbaya.
👉🏿Walilalamika kuhusu vyanzo vya umeme wa uhakika,ila mradi wa ujenzi wa bwawa la Nyerere ulipoanza wakaupondea.
👉🏿Walisema shirika la reli limekufa,ujenzi wa SGR umeanza wakaupondea,na mengine meeeengi.
Kwahiyo kizuri chochote kitakachofanywa NA CCM kwao hugeuka na kuwa kibaya hata kama waliwahi kukidai,huwa wanataka CCM ifeli kujifanya ili wapate misemo majukwaani.
NB; Huwezi kuwaridhisha CDM, dawa yao ni kuziba masikio na kuwapa like wanachostahili.