Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
Mkuu mm nilikua sijawahi kufikiria kama ipo siku ntaiacha cdm lkn kwa ujinga huu wanaofanya acha wapigwe,mama Samia amekubali kuifanyia Kaz katiba tena kaomba tumpe mda si Bora yeye aliyesema tumpe mda kuliko jiwe yeye alikataa kabisa live Sasa kwann tusimpe mda rais ,naomba cdm muwe makini hata sisi wanachama wenu mtatupotezaCHADEMA wanamdharau sana Rais SSH kwa kuwa ni mpole, wanataka afuate matakwa yao. Hapana akifanya hivyo atakuwa siyo Rais wa Tanzania. Freeman Mbowe yeye mwenyewe hachezewi hivi akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Tumemuona alivyolinda kiti chake cha UENYEKITI mpaka kwa kumwaga damu. Kwa nini wasimsikilize Rais SSH aliposema Katiba isubiri kwanza ajenge uchumi?
Mbona waliufyata kwa Mwendazake ambaye alikuwa katili kupitiliza? Wananchi watawachoka kwa kuwa chama cha harakati na matukio. Kajipangeni namna ya ku-deal na Rais SSH. Wananchi wanamkubali anavyochukua hatua kupanga uchumi. Na Katiba hajakataa, kasema nipeni muda.
Lakini akina Mbowe wanataka wamuendeshe kama gari bovu? HAPANA huyu ni Rais wetu wote na anayoyafanya tunayao