Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

cariha usichokijua ni kwamba,siku zote CDM huwa hawapendi kabisa hoja zao zitatuliwe bila kuleta vurugu maana huwa wanahisi kama vile jamii itawapa sifa watekelezaji na sio wao.Kuhusu katiba,walipoona mama hajakataa hoja yao (katiba mpya) na yuko tayari kuitekeleza wakaona kwamba atapata sifa sana hivyo basi wanaamua kutafuta mwanya wa kumjaza simu Rais Ili akiwagusa ionekane kwamba wao ndo wanataka katiba na Rais hataki.

👉🏿Kumbuka waliwahi kulaumu nchi kuwa ndege mija,ila ziliponunuluwa waliponda.

👉🏿Wanalalamika kusuhu upole wa JK,ila Magu alipokaza wakabadilika😂.

👉🏿Walidai kuleta elimu bure,ilipoletwa na CCM inaonekana ni mbaya.

👉🏿Walilalamika kuhusu vyanzo vya umeme wa uhakika,ila mradi wa ujenzi wa bwawa la Nyerere ulipoanza wakaupondea.

👉🏿Walisema shirika la reli limekufa,ujenzi wa SGR umeanza wakaupondea,na mengine meeeengi.

Kwahiyo kizuri chochote kitakachofanywa NA CCM kwao hugeuka na kuwa kibaya hata kama waliwahi kukidai,huwa wanataka CCM ifeli kujifanya ili wapate misemo majukwaani.

NB; Huwezi kuwaridhisha CDM, dawa yao ni kuziba masikio na kuwapa like wanachostahili.
 
Kwa kweli awaadabishe zaidi,ina mikelele sana hii mijitu,haina jema wao ni kulalama tu
 
Nyenyekea wenye mamlaka dogo,huna la kufanya.Unatambia shule ambayo mpaka leo haijakupa unachohitaji?
 
I respect your analysis but CHADEMA inakosa wazee wenye busara. Zamani kulikuwa akina Mzee Mtei, Makani (RIP), Mchata nk. Hawa wangeweza kuwatuliza CDM Waka move vizuri.

Ila hicho wanachokitaka cha kumuamrisha Rais SSH acheze ngoma yao siyo sahihi. Rais ni Taasisi, tutamlinda Rais wetu kwa namna yeyote.

Wote tupo Tanzania tunaona mabadiliko na Rais kwa staha kasema nipeni muda nipange uchumi ndipo nije kwenye Katiba, wanaanza kumjibu JEURI.

AFRIKA hakuna Rais wa hivyo!!
 
Hapo unaposema "tupende au tusipende" ndo unapokosea.

Katiba mnayoitaka haitapatikana kwa kuitaka nyinyi pekeyenu.
 
Kifo ni kifo tu ila tofauti ipo kwenye mazishi, kwahiyo nakushauri tafuta fedha usije kufa kibudu.
Kodi tunazolipa manispaa au halmashauri za miji/majiji zipo kwa ajili ya sisi tusio na fedha.

Shida ninyi mnawachukulia hawa viongozi wenu as if ni miungu fulani - Magufuli na majigambo yake yote yale yu wapi sasa? 6 feet under!!

Lissu ambaye alitakiwa afe - yupo anadunda kibabe na lazima atakuja kuwa rais nchi hii.
 
Naona unajaribu kulazimisha mknd wako utafune muwa na sio kazi uliombiwa.

Wewe kama unaona ninayokwambia ni utoto,chukua hatua tukuoe na sio kubweka huku kwenye fake I'd.
 
Anandunda huku akimalizia muda wake ambao alipangiwa kuishi hapa duniani,kama nakosea nisahihishe kwa kuniambia kuwa ataishi milele.

Swala la yeye kuwa Rais wa hii nchi labda apitie CCM.
 
Nimesoma comments na nimeishia kujua wengi wetu we don't seem to know what we are for,,but we know what we are against 😃...
 
Ulichoniquote kina mistari miwili,jibu lako ni gazeti. Mimi na wewe na kapanick? Ingia mtaani ukadai katiba mpya.
 
Anandunda huku akimalizia muda wake ambao alipangiwa kuishi hapa duniani,kama nakosea nisahihishe kwa kuniambia kuwa ataishi milele.

Swala la yeye kuwa Rais wa hii nchi labda apitie CCM.
Lakini Lissu hajipi misifa ya kijinga kama alivyokuwa akifanya Magufuli. Magufuli alivyokuwa akitamba nasikia ninyi wafuasi wake (mkiongozwa na Chalamila) hamkuamini mungu wenu amekufa.

CCM hakuna chama pale - toa polisi kwisha habari yake. Kuna chama cha ukombozi nchi hii kinakuja na Lissu atakuwa prezidaa mtake msitake!
 
Wanaotaka Katiba wako wapi? Jamii Forums na Twitter??

Hata mimi naitaka lakini lazima niheshimu Serikali iliyoko madarakani.

Msiwajaze wanaharakati upepo wakati hamuwezi kuingia Barbarani. Mbowe yupo ndani kuanzia Jana, na Lissu akiwa Belgium kaagiza muingie mtaani mukaandamane. Nipo Kisutu hapa sioni mtu.

Pumbavu zenu sana
 
wee muhaya unazengua tumia akili, acha njaa na mihemko, ugali unaohisi utakuponyoka kwa kufadhiliwa na ccm kisa ya katiba mpya kudaiwa hautakuponyoka.

Bali katiba mpya ikipatikana utaupiga ugali mwingi zaidi ya huo wanaokulisha ccm.
 
Katiba ya kufikirika.
 
wee muhaya unazengua tumia akili, acha njaa na mihemko, ugali unaohisi utakuponyoka kwa kufadhiliwa na ccm kisa ya katiba mpya kudaiwa hautakuponyoka.

Bali katiba mpya ikipatikana utaupiga ugali mwingi zaidi ya huo wanaokulisha ccm.

naona kenya na south africa wanapiga ugali mwingi kweli sioni sababu ya wao kuja kuchukua maindi uku, ama unasemaje heche?
 
Hapo kuna hoja ipi,ama ndio kufilisika kwenyewe,kiasi cha kuanza kutegemea mtutu.

mbna kama unataka kuniwekea maneno, si ni maneno ya viongozi wenu ambao wameshika akili zenu mbna kama unataka kunikasirikia
 
Hahahahaa

Ingekua ni Katiba ya Kufikirika msinge ua watu

Nakwambia hivi,mtuue wote 60mil people

Katiba ni serious kupita maelezo,na hili mnalijua ndio maana mna hofu mpaka matakoni
Belgiji kasema andamaneni kumdai Mbowe wenu

Mbona hatuwaoni huku road?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…