Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

Dawa safari hii inawaingia taratiibu sana
Ameanza kuandamwa na haki za binadamu mda wote atachomolewa urais. Dunia siyo ya ubabe tena hii. Si unaona jpm amepewa sumu fasta baada ya kuongoza kibabe. Sasa mshauri samia hivyohivyo uone hata mwaka kama utaisha kabla mpango hajawa raisi.
 
Mkuu!

Yani unaongea kwa hasira kwamba mnataka katiba yenu kama vile unamwambia mtoto wako arudishe hela aliyoiba!

Mpaka tunafika 2025 na tutavuka zaidi ya hapo hutaona kitu kinachoitwa katiba mpya
 
mbna kama unataka kuniwekea maneno, si ni maneno ya viongozi wenu ambao wameshika akili zenu mbna kama unataka kunikasirikia
Naanzaje kuwakasirikia wanaotua akili zao geti la mtaa wa kijani, kwa kuwa wao wanahitaji chakula kufikiria na sii akili.
 
Nani kauuwa?

Sehemu zote ni zipi zinazoongea katiba tu? Kwa kigogo, maria na fatuma karume?

[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kuwa seroius nioneshe ni wapi hao wananchi wanapodai hiyo katiba mpya?

Hao wanachi hawakuchoka kwa lolote mbele ya Magu sembuse huyu mama?
 
Lakini hizi threads either kupinga/ku-support katiba ni ID zilezile 20 hazifiki,,?!huoni kuna manufactured support/outrage kuhusu hii mada?
 
Mkuu sina affiliation and All I see in this answer is a rollercoaster of emotions filled with ad hominem attacks..Anyway siku njema
 
Hahahahaa

Ingekua ni Katiba ya Kufikirika msinge ua watu

Nakwambia hivi,mtuue wote 60mil people

Katiba ni serious kupita maelezo,na hili mnalijua ndio maana mna hofu mpaka matakoni
Wewe kama unataka kufa ingia barabarani,maswala ya kusema muuliwe wote 60M ni uoga, au ndo kusema unaamini Watz wote ni nyumbu kama wewe?
 
Naanzaje kuwakasirikia wanaotua akili zao geti la mtaa wa kijani, kwa kuwa wao wanahitaji chakula kufikiria na sii akili.

sasa kati ya sisi na nyie nan anaacha akili getini?
 
Mleta mada kumbuka kuwa CDM wanapodai katiba mpya ni kwa ajili ya wa Tz. wote wakiwepo wasiojitambua na wendawazimu kama wewe
 
Hamna mtu anaweza kukuletea usenge, kama ni msenge ni msenge tu. Period.

Twende kwenye point sasa. Hata mimi ni mwana JF na mwana Twitter na nataka Katiba mpya. Ushahidi ninao na nitakuwekea Uzi wangu hapa:


Wote tunataka Katiba Nzuri lakini shurti tuwasikikize viongizi wetu. Rais ameachieve a lot in terms of democratic process, rule of law and human rights in a very short period. Hizi pressure za ku undermine performance yake hatuwezi kuziacha unchecked
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itabidi nicheke tu aisee!
 
Kumbe nabishana na msenge!! Na log off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…