Rais Samia: Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Nimeipenda sana hii kauli

Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja

Huwa nasema siku zote hapa JF kwamba Siasa Siyo Uadui
Leo nashukuru mh Rais Samia ameniunga mkono Ili tupate maendeleo ni lazima Twende pamoja lakini kwa akili kubwa

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
 
mama keshazidi watu akili 2025 imeshaisha
 
Wahafidhina wa CCM wameanza kumloga Mama leo wamemtesti lakini wamegonga mwamba😄
 
Nimeipenda sana hii kauli

Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja

Huwa nasema siku zote hapa JF kwamba Siasa Siyo Uadui
Leo nashukuru mh Rais Samia ameniunga mkono Ili tupate maendeleo ni lazima Twende pamoja lakini kwa akili kubwa

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Ngoja tumsubiri nabii Lema kwanza ,tutegemee atachafua hali ya hewa tu
 
Mama kashamaliza kazi mapema sana. Sasa hivi wapinzani wako bize kutukana bodaboda na kina mama wa VICOBA
 
... iwe akili kweli na sio kutumia bunduki kwa sababu una access na bunduki na washindani wako hawana hapo inakuwa sio akili tena bali udikteta!
 
Back
Top Bottom