Hakika Rais Samia Suluhu anaujua mchezo wa siasa na ndio maana leo amekuwa mgeni rasmi katika mkutanoo wa wapinzani na amewaweka wazi kwamba 2025 hakuna atakaeshinda uchaguzi zaidi yake na sisi watanzania tunajua mama anaupiga mwingi tuko pamoja nae hadi 2030Nimeipenda sana hii kauli
Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja
Huwa nasema siku zote hapa JF kwamba Siasa Siyo Uadui
Leo nashukuru mh Rais Samia ameniunga mkono Ili tupate maendeleo ni lazima Twende pamoja lakini kwa akili kubwa
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!