johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hakika mkuu
mama keshazidi watu akili 2025 imeshaishaNimeipenda sana hii kauli
Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja
Huwa nasema siku zote hapa JF kwamba Siasa Siyo Uadui
Leo nashukuru mh Rais Samia ameniunga mkono Ili tupate maendeleo ni lazima Twende pamoja lakini kwa akili kubwa
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Akili kubwa!mama keshazidi watu akili 2025 imeshaisha
SawaMama awe rais 2025 ila atuachie katiba mpya
Ngoja tumsubiri nabii Lema kwanza ,tutegemee atachafua hali ya hewa tuNimeipenda sana hii kauli
Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja
Huwa nasema siku zote hapa JF kwamba Siasa Siyo Uadui
Leo nashukuru mh Rais Samia ameniunga mkono Ili tupate maendeleo ni lazima Twende pamoja lakini kwa akili kubwa
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Asali kula Uliwe! 😂😂😂Wahafidhina wa CCM wameanza kumloga Mama leo wamemtesti lakini wamegonga mwamba😄
Siasa sio uadui ila enzi za ile kambale mlikua mnakata viuno kusherehekea anavyoteka na kuua wapinzani.Hakika mkuu
Mkikosa dhamira mnatendwa vyovyote vile🤣🤣Siasa sio uadui ila enzi za ile kambale mlikua mnakata viuno kusherehekea anavyoteka na kuua wapinzani.
Ndiyo akili za UVCCM hizi.Mkikosa dhamira mnatendwa vyovyote vile🤣🤣
Shoka moja.....!
Mbowe alitaka asali jaba zima, angekubali kwenye kibabaSiasa sio uadui ila enzi za ile kambale mlikua mnakata viuno kusherehekea anavyoteka na kuua wapinzani.
Happy Women Day Chief.Mbowe alitaka asali jaba zima, angekubali kwenye kibaba