Mbowe alifungwa na maguli au samiaDon't write like headless chicken. Kwani DPP anajiteua?
Makesi yenyewe ya kubambikiza ambayo yule DIKTETA tuliyemzika Chato aliyaanzisha.
Mbowe alifungwa na maguli au samiaDon't write like headless chicken. Kwani DPP anajiteua?
Makesi yenyewe ya kubambikiza ambayo yule DIKTETA tuliyemzika Chato aliyaanzisha.
" mama nina kesi"
Watu walikimbizwa na mengi aiseee!
Kama wewe ni mtu makini usingeandika hivyo. Mashtaka ya Mbowe yalianza na matukio ya April 2020 na walinzi wa Mbowe alioshitakiwa nao walikamatwa Novemba 2020. Kulikuwa mfumo dhulumat alioukuta ndiyo ulimhakikishia kuwa Mbowe ana makosa ambayo alifanya mwaka 2020 na kisha kukimbia nchi hadi magufuli alipokufa ndipo alirudi.Mbona alimbambikia mbowe halafu alivyomfutia kesi watu wakashangilia tena
Mashtaka yalikuwa Polisi kuanzia Novemba 2020. Mbowe alikimbia nchi akawa anaishi Dubai au Nairobi. Hatimaye magufuli alipokufa ndipo mbowe akarudi. Mfumo wa magufuli kupitia Simon Sirro na Diwani Athman ndiyo uliompeleka Mbowe rumande. Na walimuaminisha Mama kuwa kuna ushahidi.Mbowe alifungwa na maguli au samia
Angekufa akiwa Kijana basi, Mbona kafa akiwa Mzeewatu wema hufa mapema, sema wewe huelewi haya mambo...umri mdogo