Rais Samia: Sijawahi Kusaini Mtu Kunyongwa

ama kwa hakika,
Dr. Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa nchi, lakini pia ni mama na mzazi mwenye mapenzi ya dhati na uaminifu mkubwa kwa waTanzania wote.

Got bless you Mama 🙏
Aliyesaini Ali Kibao, Polepole, Mdude, Mauaji ya Oct 29 NK ni Nani?
 
Sisi tunajua mauaji ya 29.10.2025 ni maagizo yake, na damu zile zitaendelea kumlilia hadi siku anaiaga dunia.
 

-Hatujawahi kumuuliza kuhusu huo upuuzi, maswali yetu yako hivi:
1-Nani alisaini mass assassination ya raia 29th to 31st October 2025?
2-Nani alisaini maiti zipotezwe(ziteketezwe) mpaka ndugu kuzika yeboyebo na mashati?
3-Nani anakipa kinga kikosi cha magaidi(terrorists squad) ambacho kinatamba kupitia msemaji wake 'shehe' Mwaipopo.
4-Nani atakuwa accountable katika sakata la raia waliouawa Oct,29th 2025?
5-Kwanini anaogopa international investigators katika kujua idadi halisi ya raia waliouawa katika kilichopaswa kuwa uchaguzi 2025.
6-Kwanini yuko kimya katika sakata la kutekwa kwa aliyekuwa balozi akiiwakilisha nchi yetu kule Cuba ambaye pia amewahi kuwa katibu mwenezi wa chama anachokiongoza.
 
Mijitu inaongea uwongo kama walikuwepo wkt wa kusaini 🤠

Aya weka Ushahidi wako kwa faida ya Wasomaji wa Jamii forum Waone na kukuelewa!??
Kwahiyo kuua watu bila kusaini unakuwa hujauwa?
Tatizo ni kuua siyo kusaini.
 
Wewe ni mhamiaji haramu na ukikamatwa utafundishwa adabu .,tena unapaswa kupigwa Risasi ya Moto
Mmezoe kuua umbwa nyie ndio mnachoweza. Hapa umesema uhalisia wenu maana hamwezi kujibu hoja kwa hoja au kufwata sheria ila kuua mnaweza. Hata kama ni mhamiaji haramu kweli si akamatwe apelelekwa mahakamani.
 
Undugu na wewe unayesapoti wauaji umeanza lini?
 
Uwe na adabu wewe na uache mara moja kumchafua Mheshimiwa Rais
kajichafua mwenyewe mbona, ndio shida ya uelwa mdogo unaosababishwa na elimu mbali mbali. wajanja wanakutega bila hata kutoka jasho, na wala haelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…