Rais Samia: Sijawahi Kusaini Mtu Kunyongwa

ama kwa hakika,
Dr. Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa nchi, lakini pia ni mama na mzazi mwenye mapenzi ya dhati na uaminifu mkubwa kwa waTanzania wote.

Got bless you Mama 🙏
🤣🤣🤣🤣🤣
Machizi bhana. Anyway kama unapiga pesa siyo ishu. Wewe hapo una buku7 mimi mpaka sasa sina kitu.
 
Hajaulizwa apunguze kujieleza , maelezo hayo atayatoa pale kizimbani ICC sio sasa.

Maana hatujasahau haya aliyoyafanya.
 
Wa tarehe 29 nani alisaini? Kama si yeye mbona hajawachukulia hatua!
 
Wewe kijana mjinga sana, hujamsikia mwenyewe anasema amechoka kutajwa tajwa?
Kila siku unafungua nyuzi za vilemba vya ukoka hapa mpaka namba moja anaona aibu.
 
Wa tarehe 29 nani alisaini? Kama si yeye mbona hajawachukulia hatua!
Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilifanya kazi ya kudhibiti machafuko kwa kutekeleza wajibu wake ili Nchi isije kuwashwa moto kama ilivyotaka kufanywa na vijana ambao inaonyesha walilipwa pesa na maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu
 
Haya mambo yanaashiria mtu anayejitetea kabla hata ya kushtakiwa, asubiri wakati ufike.
 
ama kwa hakika,
Dr. Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa nchi, lakini pia ni mama na mzazi mwenye mapenzi ya dhati na uaminifu mkubwa kwa waTanzania wote.

Got bless you Mama 🙏
oya wazee tupeane basi michongo...wenzetu mnalipwa bei gani ili wote tufaidi mema ya nchi..maana mnasifia kumzidi Mwijaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…