Rais Samia: Sijawahi Kusaini Mtu Kunyongwa

Quuma
 
Ana uchukia sana ugaidi wa wanaharakati
Ila anaweza kupiga nao picha pindi akiwatoa gerezani baada ya kufika nao bei? Arejee kesi ya mbowe freeman . Alimtoa gerezani na kukutanaye ikulu?
Damu za kina polepole haziwezi kumuacha salama. Ana weweseka Kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…