Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais Samia amesema;
"Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki nikiwa kiongozi mkuu wa nchi. Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu. Lakini nataka niwahakikishie kwa kadiri Mwenyezi Mungu atakavyonielekeza na kunijalia, nitauvuta mzigo huu kwa ujasiri, kujiamini na tahadhari kubwa."