Rais Samia: Sikuwa na ndoto za kuwa Rais bali nilikuwa na ndoto za kuwa mhudumu wa ndege (Air hostess)

Hatimaye kitendawili kimetenguliwa
 
Kama ndoto imezidi kiwango, si atuachie nchi 2025!!?
 
ni sawa tu 🐒

ndoto saa zingine,
kutokana na mazingira hushindwa kutimia na badala yake kazi na maisha mengine huchukua hatamu 🐒

muhimu uskate tamaa...
 
Na
Na huo utukunyema labda mwajiri angekuwa mjomba wake,umbo la bapa na flight attendant wapi na wapi
 
ndo' maana anapenda kuzurura'flying president'.
 
Rais Samia amesema akiwa mdogo alitamani kuwa Muhudumu wa Ndege ( air hostess)

Rais Samia amesema hayo siku ya Wanawake duniani

Source: Wasafi fm
 
Aweke picha ya enzi hizo tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…