Rais Samia: Sikuwa na ndoto za kuwa Rais bali nilikuwa na ndoto za kuwa mhudumu wa ndege (Air hostess)

Hata mie huwa najiuliza hivi huyu Rais katoka wapi ? Ni hovyo na bomu kabisa Bora angefanya kazi ya ndoto zake
 
K Kwani kwa sasa ana tofauti gani na air hostess? Kila siku yupo kwenye ndege
 
Kwa NAFSI aliyonayo sasa, ni rahisi kuomba KAZI hiyo hapo ATCL na kuipata bila shida yotote.

Asaidiwe kutimiza ndoto hiyo haraka.
 
Hahahaha..Eti baba alikua mwalimu...Kuna siku mama atajisahau amtaje mazima😊😊
 
 
Kumbe ndiyo maana kutwa kiguu na njia na ndege zetu kuzurura!
 
Air mistres hawapendelei wanene sabu wanaongeza kilo ambazo zingetumika kubebea mizigo inayolipiwa
 
Asilimia kubwa ya Watu wanafanya kazi ambazo hawakuziwazia.

Mfumo wa maisha na kudra ndio zinakupangia.

Mfano Mimi nilikuwa na ndogo ya kuwa mchumi mwandamizi huko BoT au Wizara ya Fedha Ili nishawishi sera za Uchumi za Nchi ikashundikana nimeishiwa kuwa mhandisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…