Ulitaka asemaje mkuu kuhusu chanjo?Kila mtu si mkubwa huku ni kujivua uwajibikaji tu.
Si aseme tu kuwa yuko kwenye kusimamisha uchumi wake kwanza?
Corona ipo na inachukua maisha ya watu maana yake nini? Au ndiyo tunayoiona kutuongezea mzigo wa tozo na kodi zaidi?
Takwimu kama walivyo ainishwa wataalamu ziko wapi?
Aache kutufanya mazwazwa kama Jumbe Brown au zandrano
Kuwa basi rais ili ulazimishe watu unachokitaka. Una elements zote za dikteta!Sasa kusema hulazimishwi ndio nini? Kitu kama kina madhara halafu unakaa kimya na wewe ndio kiongozi hiyo maana yake nini? Wewe ni kiongozi wa aina gani sasa unashindwa kuchumbulia wananchi wako lililo baya na lililo jema na ukawashauri accordingly?! Huu ni udhaifu wa hali ya juu!!
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Zinga, Bagamoyo amesema halazimishi watu kupata Chanjo dhidi ya COVID-19 akieleza, "Kila mtu ni mkubwa ana akili yake. Vituo vipo ukijihisi unataka kwenda nenda, ukiona bado hutaki ni wewe na maamuzi yako"
Amesisitiza "Tusidanganyane, COVID-19 ipo na inachukua maisha ya watu wetu. Sikwambii ukichanja hutopata, ukipata haina maumivu makubwa"
Mbona kama Anaongea kwa HASIRARais Samia Suluhu Hassan akiwa Zinga, Bagamoyo amesema halazimishi watu kupata Chanjo dhidi ya COVID-19 akieleza, "Kila mtu ni mkubwa ana akili yake. Vituo vipo ukijihisi unataka kwenda nenda, ukiona bado hutaki ni wewe na maamuzi yako"
Amesisitiza "Tusidanganyane, COVID-19 ipo na inachukua maisha ya watu wetu. Sikwambii ukichanja hutopata, ukipata haina maumivu makubwa"
Hatari sana mkubwa mara Yesu na Mkewe yaaniSijui kusudi la Mungu Mimi kuzaliwa Bongo Land ni nini tu? Hua najiona ilifaa niwe huko Israeli tu. Maana kila leo vioja. Huku Mama J, hujakaa sawa Ewura na Bei mpya ya mafuta ukitulia kidogo wanakanusha tena. Ukisema yameisha linakuja la watu kujiita Mawakili Wasomi, Kidogo Tena Korona duuh.