#COVID19 Rais Samia: Silazimishi watu kupata chanjo, kila mtu ni mkubwa ana akili yake

Yeye ni Rais, anadhamana ya kulinda raia wake, tangu lini mchungaji akaona Simba mbele halafu anawaambia Kondoo kwamba kila mtu aamue kuendelea na Safari au kurudi nyuma? Nini maana ya kuwa kiongozi?! Ni kiongozi wa namna gani huyu?!!!

Soma kwa ufahamu. Rais amesema wazi kuwa "Amesisitiza "Tusidanganyane, COVID-19 ipo na inachukua maisha ya watu wetu. Sikwambii ukichanja hutopata, ukipata haina maumivu makubwa"

Kama ukichanja bado Covid unapata. Kuna watu walichanja na sasa ni marehemu. Kuna watu hawakuchanja sasa ni wazima. Kuna watu hawakuchanja na wamekufa. Kuna watu wamechanja na wako hai. Kwa nini unadhani Rais kawaacha Watanzania na kurudi nyuma? Wewe ndio hufai kuwa kiongozi. Hakuna mahali kisayansi inaonesha hizo chanjo ni mzizi wa Korona. Israel 85% wamechanja. Kaangali wangapi wanakufa kule.

Rais hizi taarifa zote anazo na zaidi ya hizi. Kwenye hili yuko sahihi. Hizo chanjo za Janssen, umesoma hata fact sheet yake, au unapiga propaganda tu? Kasome kwanza ndio utaelewa kwa nini Rais yuko sahihi kwenye hili: Kisayansi na kiafya!

Again, katika mambo ambayo Rais Samia ataacha kumbukumbu kama akisimamia kidete ni hili la kutomlazimisha mtu kuchanjwa chanjo ambayo watengenezaji wenyewe wanaonesha ipo kwenye clinical trial.

Nikutie moyo ukachanje tu ili kupata hiyo absolute protection unayoidai. Usijali kuhusu wengine. Tukifa wote ukabakia na familia yako si ndio vizuri unakuwa tajiri bila kutumia nguvu. Wewe hutaki kuwa na mali?
 
Akibaki na familia yake atakula tunda kimasihara wapi
 
Akibaki na familia yake atakula tunda kimasihara wapi?
Aoe mke aliyechanjwa. Na kama Muislam ana nafasi ya kuwa nao mpaka wanne. Watamfaa.

Hii huruma ya machozi ya mamba aihamishie kwa familia na ndugu zake. Awaache wengine waishi wqnavyoona sawa.
 
Unakulaje tunda kimasihara kwa mke.......huyo unakula kihalali
 
Kama kuna mtu anaona hajakubaliana na Mh Madam Prezidaa. Aende Twiter akafungue SPACE.
Maana siku hizi AliKASUSU imehamia huko
 
Soma kwa ufahamu. Rais amesema wazi kuwa "Amesisitiza "Tusidanganyane, COVID-19 ipo na inachukua maisha ya watu wetu. Sikwambii ukichanja hutopata, ukipata haina maumivu makubwa"

Kama ukichanja bado Covid unapata. Kuna watu walichanja na sasa ni marehemu. Kuna watu hawakuchanja sasa ni wazima. Kuna watu hawakuchanja na wamekufa. Kuna watu wamechanja na wako hai. Kwa nini unadhani Rais kawaacha Watanzania na kurudi nyuma? Wewe ndio hufai kuwa kiongozi. Hakuna mahali kisayansi inaonesha hizo chanjo ni mzizi wa Korona. Israel 85% wamechanja. Kaangali wangapi wanakufa kule.

Rais hizi taarifa zote anazo na zaidi ya hizi. Kwenye hili yuko sahihi. Hizo chanjo za Janssen, umesoma hata fact sheet yake, au unapiga propaganda tu? Kasome kwanza ndio utaelewa kwa nini Rais yuko sahihi kwenye hili: Kisayansi na kiafya!

Again, katika mambo ambayo Rais Samia ataacha kumbukumbu kama akisimamia kidete ni hili la kutomlazimisha mtu kuchanjwa chanjo ambayo watengenezaji wenyewe wanaonesha ipo kwenye clinical trial.

Nikutie moyo ukachanje tu ili kupata hiyo absolute protection unayoidai. Usijali kuhusu wengine. Tukifa wote ukabakia na familia yako si ndio vizuri unakuwa tajiri bila kutumia nguvu. Wewe hutaki kuwa na mali?
Hivi kisa umelowa na mvua ndio ukapige mbizi kwenye dimbwi la maji ya kinyesi, ni akili za wapi hizi?! Huu sio uongozi, bali ni kujivua lawama tu. waTanzania sio panya wa majaribio, na hatutaacha kulisema hilo!
Tunahitaji majibu ya hizi hoja za msingi juu ya chanjo
 
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Zinga, Bagamoyo amesema halazimishi watu kupata Chanjo dhidi ya COVID-19 akieleza, "Kila mtu ni mkubwa ana akili yake. Vituo vipo ukijihisi unataka kwenda nenda, ukiona bado hutaki ni wewe na maamuzi yako"

Amesisitiza "Tusidanganyane, COVID-19 ipo na inachukua maisha ya watu wetu. Sikwambii ukichanja hutopata, ukipata haina maumivu makubwa"
Haagh! Sasa Rais wa Nchi unasema hivyo tena. Kwa hiyo kufa kwa wananchi unaowaongoza siyo issue kwako. Serikali iongeze nguvu ktk kutoa elimu juu ya Uviko 19. Haisaidii kusema chanjo ni hiari wakati huo huo unakiri kuwa ... Watu wetu wanakufa!
Au ni Chanjo unayochanja ... At your own risk. Ina madhara makubwa.
 
Ulitaka asemaje mkuu kuhusu chanjo?
Anapaswa kama Rais ku-declare kuwa Chanjo Ni lazima. Kama Chanjo hii ni salama, Serikali inajiuma-uma nini. Hii ndiyo maana wananchi wanasombwa na conspiracies.
 
Kuwa basi rais ili ulazimishe watu unachokitaka. Una elements zote za dikteta!
Rais yuko sahihi! Kila mtu ni mtu mzima. Achague aonavyo vyema.
Kama hupendi, kunywa maji endelea na kazi. Kama una mashaka jifungie ndani utakuwa salama!
Rais hayuko sahihi ktk hili ndugu, afadhali aache kuzungumzia Uviko 19, wananchi tutamwelewa angalau. Wanategesha nini na kumtegeshea nani kwa kauli hizo?
 
Sasa kusema hulazimishwi ndio nini? Kitu kama kina madhara halafu unakaa kimya na wewe ndio kiongozi hiyo maana yake nini? Wewe ni kiongozi wa aina gani sasa unashindwa kuchumbulia wananchi wako lililo baya na lililo jema na ukawashauri accordingly? Huu ni udhaifu wa hali ya juu!!
Wewe ni lijinga wa kiwango cha utelezi wa mfinyanzi. Chanjo ni ya majaribio, acha mama atupe uhuru wa kuchagua.
 
Anapaswa kama Rais ku-declare kuwa Chanjo Ni lazima. Kama Chanjo hii ni salama, Serikali inajiuma-uma nini. Hii ndiyo maana wananchi wanasombwa na conspiracies.
Idiot mkubwa, it will never happen chini ya Mama, sisi tuliowengi hasa Dkt Magufuli alituasa. Ninyi wenye chuki na Mama ndiyo manataka mama afuate ujinga wenu.
 
Watanzania wana chuki sana, ukicheza kwenye maji wanasema unawatimulia vumbi.

Kila mtu apambane na hali yake.
Huyo ni kiongozi, atoe msimamo dhabiti na wenye mantiki na hoja ya kutetea msimamo wake, sio kutia huruma ili kuepuka lawama kwa udhaifu wake. Hizo chanjo ni za majaribio, sasa apime madhara yanayoweza kupatikana kwa kitu ambacho hata hakizuii wala kukinga na yeye anakiri hilo, so?!
 
Back
Top Bottom