FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Huyo ni kiongozi, hakupewa hiyo nafasi ili aje aseme kila mtu aamue, mbona watu hawapewi uhuru wa kujinyonga? WaTZ wote ni mali ya serikali na usalama na well being yao ni lazima ulindwe kwa gharama yeyote ile, na sio kuja kusema eti kila mtu aamue, kwani hatuna kiongozi, aseme basi kashindwa ili tutafute anayeweza kutuongoza! Hiyo chanjo ni ya majaribio, na haifanyi kile inachopaswa kufanya, means haikingi kuambukizwa wala kuugua na kufariki na huo ugonjwa. WaTz sio panya wa majaribio, hilo lieleweke wazi!Wewe ni lijinga wa kiwango cha utelezi wa mfinyanzi. Chanjo ni ya majaribio, acha mama atupe uhuru wa kuchagua.
Mh Samia rais wetu tunakushukuru sana kwa kuwa na msimamo wa HIARI kwenye kuchanjwa. She knows better. Umeepusha mengi. Utakumbukwa kwa kunusuru WaTanzania na madhara yatokanayo na mashinikizo ya kulazimishwa kuchanjwa.Idiot mkubwa, it will never happen chini ya Mama, sisi tuliowengi hasa Dkt Magufuli alituasa. Ninyi wenye chuki na Mama ndiyo manataka mama afuate ujinga wenu.
Idiot. Kuna watumishi I call them hawafai kuwa watumishi wamechanjwa na kupiga picha ili Mama awaone eti awateue hahahaha, idiot kabisa. Inakuwa kama wale wabunge wanategemea wapate uteuziHakuna mkubwa nchi hii anayemzidi Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mh. Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan.
Kauli ya Mh. Rais imekuja wakati muafaka kuashiria watumishi wote wa umma kupata chanjo,kwani utumishi wao ni sehemu ya kutii maelekezo na mfano alioutoa Mh. Rais juu ya chanjo ingawa sio lazima.
Hata hivyo utii wa amri sio shuruti,ingawa inafaa kuzingatia kwani wakati mwingine amri sio lazima itoke kwa ukali na sauti ya kutisha.
Pisha kidogo..Za kuambiwa changanya na zako
Kwani nimelazimisha baba?Tulia mzee usilazimishe wengine wachanje
Acha tufe ubaki mwenyewe kwan hutak kubak pekee yako?
Sijaelewa Who is idiot?Idiot. Kuna watumishi I call them hawafai kuwa watumishi wamechanjwa na kupiga picha ili Mama awaone eti awateue hahahaha, idiot kabisa. Inakuwa kama wale wabunge wanategemea wapate uteuzi
Umesema haki ndugu Don. Jambo hili linamshushia hadhi Mama hadi huku vijijini wanaishangaa Serikali.Huyo ni kiongozi, atoe msimamo dhabiti na wenye mantiki na hoja ya kutetea msimamo wake, sio kutia huruma ili kuepuka lawama kwa udhaifu wake. Hizo chanjo ni za majaribio, sasa apime madhara yanayoweza kupatikana kwa kitu ambacho hata hakizuii wala kukinga na yeye anakiri hilo, so?!
Chanjo mpaka sasa zipo kiasi gani mkuu na watanzania wapo wangapi?Anapaswa kama Rais ku-declare kuwa Chanjo Ni lazima. Kama Chanjo hii ni salama, Serikali inajiuma-uma nini. Hii ndiyo maana wananchi wanasombwa na conspiracies.
Kwanini iwe lazima kwenye afya ya mtu ambayo kila mmiliki ana maamuzi yake? Pia hizo chanjo Mil 1 na elfu 40 sijui zitawatoshaje watanzania wote waliokidhi vigezo vya kuchanjwa?Alitaka awachape viboko wote wanaokataa na kuwadunga kwa nguvu. Mtanzania bana haridhiki kwa lolote
We ni mpuuzi, katibu mkuu wizara ya afya alishatoa ufafanuzi, unataka Rais aongee nini zaidi we mgalatiaSasa kusema hulazimishwi ndio nini? Kitu kama kina madhara halafu unakaa kimya na wewe ndio kiongozi hiyo maana yake nini? Wewe ni kiongozi wa aina gani sasa unashindwa kuchumbulia wananchi wako lililo baya na lililo jema na ukawashauri accordingly? Huu ni udhaifu wa hali ya juu!!
Hata chini ya Katibu mkuu kuna watendaji kama waganga wakuu wa mikoa nk; ila bado kiongozi mkuu wa nchi anawajibu collectively wa kuonyesha dira ambayo kila mmoja anapaswa kufuata; maisha ya WaTanzania sio ya kufanyia bahati nasibu, anaposema anaetaka kuchanjwa achanje na asiye taka kuchanja asichanjwe maana yake anajivua lawama, kwamba ukachanja na likakukuta la kuwakuta aje aseme ‘mi si nilisema kama unataka chanja, sikukulazimisha mimi, kwahiyo usinilaumu’. Mtu wa namna hii ni kiongozi?!We ni mpuuzi, katibu mkuu wizara ya afya alishatoa ufafanuzi, unataka Rais aongee nini zaidi we mgalatia
SO UNAONA NI BORA YABJIWE ALIYEONYESHA MSIMAMO WAKE, MOJA KWA MOJA KUWA NATAKA NCHI TWENDE HIVI AU VILE?Hata chini ya Katibu mkuu kuna watendaji kama waganga wakuu wa mikoa nk; ila bado kiongozi mkuu wa nchi anawajibu collectively wa kuonyesha dira ambayo kila mmoja anapaswa kufuata; maisha ya WaTanzania sio ya kufanyia bahati nasibu, anaposema anaetaka kuchanjwa achanje na asiye taka kuchanja asichanjwe maana yake anajivua lawama, kwamba ukachanja na likakukuta la kuwakuta aje aseme ‘mi si nilisema kama unataka chanja, sikukulazimisha mimi, kwahiyo usinilaumu’. Mtu wa namna hii ni kiongozi?!
Hapana, tunahitaji hoja zote zifanyiwe kazi, kwamba kwanini zitumiwe na kwamba kwanini zisitumiwe, hoja itakayoibuka na ushindi wote tuifuate. Sasa kuacha hoja zinaelea hewani halafu unasema tu anaeona anataka kuchanjwa achanjwe, asiyetaka aache, ni akili za kitoto sana, na ni aibu kutolewa na kiongozi wa nchi.SO UNAONA NI BORA YABJIWE ALIYEONYESHA MSIMAMO WAKE, MOJA KWA MOJA KUWA NATAKA NCHI TWENDE HIVI AU VILE?